Recent content by Phoibe mshana

  1. P

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Yaani waendelee na shell zingine maana wana jeuri sana hawa watu!!! Utadhani mafuta wanatujazia bure!!!
  2. P

    Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

    Nawapa pole majeruhi wote
  3. P

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Kazi kwelikweli jamani sijui mwisho wake itakuwaje
  4. P

    Elections 2010 CHADEMA mmejipangaje Iringa Mjini?

    kweli kabisa asiyekubali kushindwa si mshindani, ukishindwa toa nafasi kwa wengine
  5. P

    Huu ni unyama wa hali ya juu!

    Huu kwa kweli ni unyama wa hali ya juu!!!
  6. P

    Mke wa Waziri afumaniwa....

    Duh kaaazi kwelikweli!!!
  7. P

    Masanja na Uropokaji kwa Wazee!

    Mjadala huu tusipokuwa makini unaweza leta mambo yasiyostahili, sasa masanja kuongea alivyojisikia kusema imekuwa ni Mengi anapewa hukumu? Je? nani anayejua hukumu yake? Binadamu mara nyingi tunaona tofauti za wenzetu ila za kwetu hatuzioni.
  8. P

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    Pole sana balozi wetu na familia yote kwa ujumla. kwakweli hii inasikitisha sana na ni unyama mkubwa sana!!1 Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
  9. P

    Picha za warembo siku ya Valentine

    Kazi kwelikweli
Back
Top Bottom