Search results

  1. P

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Yaani waendelee na shell zingine maana wana jeuri sana hawa watu!!! Utadhani mafuta wanatujazia bure!!!
  2. P

    Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

    Nawapa pole majeruhi wote
  3. P

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Kazi kwelikweli jamani sijui mwisho wake itakuwaje
  4. P

    Elections 2010 CHADEMA mmejipangaje Iringa Mjini?

    kweli kabisa asiyekubali kushindwa si mshindani, ukishindwa toa nafasi kwa wengine
  5. P

    Huu ni unyama wa hali ya juu!

    Huu kwa kweli ni unyama wa hali ya juu!!!
  6. P

    Mke wa Waziri afumaniwa....

    Duh kaaazi kwelikweli!!!
  7. P

    Masanja na Uropokaji kwa Wazee!

    Mjadala huu tusipokuwa makini unaweza leta mambo yasiyostahili, sasa masanja kuongea alivyojisikia kusema imekuwa ni Mengi anapewa hukumu? Je? nani anayejua hukumu yake? Binadamu mara nyingi tunaona tofauti za wenzetu ila za kwetu hatuzioni.
  8. P

    Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

    Pole sana balozi wetu na familia yote kwa ujumla. kwakweli hii inasikitisha sana na ni unyama mkubwa sana!!1 Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
  9. P

    Picha za warembo siku ya Valentine

    Kazi kwelikweli
  10. P

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Ni kweli unapokuwa na jambo ambalo una uhakika nalo bora ueleze kinagaubaga siyo blablaa. hebu fafanua kwanza kuhusu TANESCO, na huo ufisadi ulianza lini na umefikia wapi kwa sasa? ili kama kweli hatua za kisheria zichukuliwe zidi yake. Isije ikaja dhana ya kuwa wabongo wakishaona mtu...
  11. P

    Muigizaji Joti wa Ze Komedi apata ajali

    Mungu amsaidie apone haraka maana tutakosa vituko vyake kwa kweli.
  12. P

    Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

    Cha muhimu ni kuwa haki itendeke basi
  13. P

    Hamu ya Ngono wengine inawatia wazimu? Unyama gani huu?

    huu ni ukatili wala siyo tamaa maana mtu unakuwa huna huruma hta na mgonjwa? au labda mwenzetu anamaradhi mengine
  14. P

    Hospitali ya AghaKhan Dar waanza kupima kisukari bure

    Tunashukuru kwa hilo, je baada ya mgonjwa kugundulik ana kisukari matibabu yake inakuwje?
Back
Top Bottom