Recent content by Phd Hewa

  1. Phd Hewa

    Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

    Tulia wewe chawa
  2. Phd Hewa

    Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

    Kwisha habari yake
  3. Phd Hewa

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Fanya kazi wewe au wewe ni kula kulala?
  4. Phd Hewa

    Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

    Kwa mujibu wa Meya Boniface Jacob: “Nyumbani kwangu Wamevamia Askari wenye Uniform za JWTZ watatu na Mmoja wao Amevalia kiraia na ana Video Camera,wameiweka familia chini ya Ulinzi, Wanapekua kila Mahali Vyumbani, Bila mimi Mwenye nyumba, Polisi, Mjumbe kuwepo...Naelekea huko muda huu” Ameandika
  5. Phd Hewa

    Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Mumetaka wenyewe hayo yote na tume yenu ya ccm
  6. Phd Hewa

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Munalipwa nini mpaka mumtumikie shetani?
  7. Phd Hewa

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo mchezo
  8. Phd Hewa

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. Phd Hewa

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    %70 anavyopost mange ni ukweli mtupu ila kwasababu akili zako kuna mtu kazishikilia hapo ulipo ni kopo tupu.
  10. Phd Hewa

    Kenya yaingia mkataba na kampuni ya doppelmayr ya Austria ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars)

    #Kenya imeingia mkataba wa TZS 129 bilioni na Kampuni ya Doppelmayr ya Austria kwa ajili ya ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars). Ujenzi utaanza Mei mwaka huu na utakamilika 2020...... """Kwa kweli nasikia uchungu sana Wakenya wanaibua miradi sisi maneno meeeengi kuliko...
  11. Phd Hewa

    CCM yatamba kushinda majimbo yote

    Eti wanashindana na cuf lipumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Phd Hewa

    Lazaro Nyalandu Amepotea? Alitegemea nini kuwa mpinzani?

    Mwacheni nyalandu afanye mambo yake
  13. Phd Hewa

    Diwani wa CUF wilayani Ruangwa mjini mkoani Lindi ajiuzulu

    Diwani wa CUF anaetambulika kwa jina maarufu Selenge amejivua udiwani diwani huyo alikua hapo hapo Ruangwa mjini kata ya Nachingwea miongoni mwa kata mbili za huko mjini Ruangwa. Ruangwa mjini kuna kata mbili na zote zilichukuliwa na CUF kata moja ipo wazi na sasa CUF amebakiwa na kata moja...
Back
Top Bottom