Nimeamini kila lenye mwanzo lina mwisho wake na kama inawezekana mtu kubadili dini bac hata chama inawezekana kiac kikubwa, sasa imefika wakat tubadilike...!CHADEMA mwanzo mwisho waacheni CCM wajipe matumaini.
Hapa mtaani kwetu kuna jamaa ana sifa zote ulizotaja kwa hiyo anamsumbua sana mke wake, na mke wake hapendi hizo tabia. Sasa kama kungekuwa na uwezekano wa kubadilishana ingekuwa poa sana...
Ndio tatizo la kuongozwa na viongoz waliokufa na kuoza mana anachosema pinda ni uvundo mtupu..! Yaani inahuzunisha sana kuona kiongoz... cjui niseme anaongea au anaropoka maneno kama hayo. Hi ni aibu sana...
Uwe rafiki wa karibu wa mwenye nchi, uwe na degree ya ufisadi na uzoef wa kula rushwa nadhani kwa uongoz wa chama kinachotawala vgezo hivyo vinatosha kabisa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.