Recent content by Pangaea

  1. Pangaea

    TAHARIRI: Miili Iliyopatikana Ruvu Ifukuliwe; Ben Saanane apatikane - Ni Utu Huu!

    Hakika tunataka majibu sahihi. Huu si wakati wa porojo. Ama MTU ambaye ni mpinzani akipatwa na tatizo hatua hazichukuliwi? #BringBackOurBen
  2. Pangaea

    Watu walilia elimu imeshuka sasa mabadiliko yanafanyika vipi tena?...

    Nchi imegawanyika! Ukiliangalia tamko la hivi karibuni la waziri wa elimu na ukiwasikiliza baadhi ya wadau, utadhani kuwa waziri katangaza uamuzi wa haraka unaominya haki ya elimu kwa watu wa nchi hii. Lakini kwa wengine huu ni uamuzi sahihi. Kwetu sie ambao tunaujua mfumo wa elimu na matunda ya...
  3. Pangaea

    Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Huu ni uchochezi uchwara.com
  4. Pangaea

    Je, Ninaweza kuwa advocate?

    ******----******----******----****** Nitafurahi kama pia tunaweza kupata ufafanuzi wa sect 11(b) ya 'Thelaw school of Tanzania act, 2007' je other qualifications ni zipi? Je PGDL ni mojawapo? section 11.-(1) A person is eligible to undertake a programme of practical Admission legal training...
  5. Pangaea

    Je, Ninaweza kuwa advocate?

    Wakuu, salaam. Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai. Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma(PGDL) mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
  6. Pangaea

    Taarifa ya BAVICHA Mkoa wa Njombe kwa vyombo vya habari

    Nadhani kamanda "ungehamasisha vijana unaowaongoza wajihudhurishe kwa wingi" Lazima chama kiwe na vijana wakakamavu! Pia wanatufundishia Red Brigade na hilo si habari njema? Let's be positive!
  7. Pangaea

    Kwa Hili la Salum Mwalimu, CUF Inastahili Pongezi ni Mwanzo Mzuri wa Reality ya UKAWA!.

    Lkn Chadema tusisheherekee sana. lzm tujihoji kwanini jimbo Moja tu?? Vipi kuhusu makamu mwenyekiti znz, na mbunge wa viti maalum M.Msabaha hawa vipi?? Siyo kwa kumpa Salumu wamepunguza uwezekano wa yeye kuongeza nguvu bara?? Ni mtizamo tu!!
  8. Pangaea

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    ACT ni hovyo 100%; hata huyo profesa wao amejaribu kutulaghai lkn hawezi, eti mwenyekiti atamwajibisha kiongozi mkuu eeeh nani mkubwa kikatiba? Hapo kina mama wamedanganywa kuwa kuna mama anaongoza chama! what a shame! Halafu eti ni wajamaa nani anaitaka hiyo jehanamu! Lkn kwa itikadi hiyo ya...
  9. Pangaea

    Baraza kuu CHADEMA wakutana Dar es Salaam

    Ratiba ya vikao iko wazi. Jaribu kuwa serious!!
  10. Pangaea

    Safari ya Zitto Kabwe iliishia njiani, ya Ben Saanane imeisha kabla haijaanza!

    Wachonganishi hao kuwa makini nao. "simply perpetrators"
  11. Pangaea

    Dkt. Slaa na ahadi ya Morogoro na wanaoitwa viongozi wa CHADEMA Tanga Mjini

    Vibaraka wanaendelea kufungasha vorago. Kwetu sie ni sherehe. Wataisoma namba.
  12. Pangaea

    Madaraja ya waalimu yapandishwa kufuata upepo wa siasa

    Uwongo wa shetani huo. Ninyi ma-speculator ndio mnaosabanisha uchonganishi na kufanya wafanyakazi wanyimwe haki zao. Walimu waliopitishwa nchi nzima ni zaidi ya 35,000. Sasa wote hao wanatoka wanakoongoza chadema? Acha uvivu wa kufikiri.
  13. Pangaea

    Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

    Hata xsasa wapo wengi tu na wengine wana Masters. Kwa hivo hamna jipya.
  14. Pangaea

    Mkutano na waandishi wa habari kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

    Wasaliti wa ukombozi wa taifa kamwe hawatafanikiwa.Kama wanabisha "Yetu macho"
Back
Top Bottom