Recent content by Pambazuko

  1. P

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Inakatisha Tamaa sana vyama vyetu vyooooote vimejaa wahuni si ccm, chadema, nccr ...... you name it. Tufanye nini. Binafsi nakata tamaa. Sasa sishangai kwnn Hata wasomi wengi tumeamua kuishi kimkatokato tu. we r a country in a verge of total collapse... morally. Respect kwa watu wachache kama...
  2. P

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Ukabila hauna consesus labda kundi moja likubali kupoteza na kuwaachia kundi jingine. Hapa dawa ni kuwa kundi la akina Lema liache chuki iliyowazi dhidi ya Zitto. Kwa mabandiko aliyotoa Lema inajidhihirisha wazi kuwa anawakilisha kikundi kilichojaa kiburi na wivu mkubwa na wanayohofu kubwa kuwa...
  3. P

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Exellent record, keep them coming. Dawa ya kudeal na hawa loosers ni kuchapa kazi kama hizi, acha wagombanie posho na ruzuku, wanapenda hela kama nn, hawana kabisa utu mbele ya pesa, hlf huyu ----- anatuhubiria eti utu...mnafiki sana Lema.
  4. P

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Zitto Kabwe anafaa kuiongoza chadema sasa, kelele zote hizi ni kwakuwa wanakuogopa. Sambaratisha ukaskazini ndani ya cdm chama kiwe na sura ya kitaifa.
  5. P

    Kwa mateso makali na vikwazo vingi, lakini tutafika na Mbowe!

    Naona mzee una mapenzi makubwa sana kwa mbowe uko radhi kuibaka demokrasia ndani ya chama ili mkubwa aendelee. Hatari sana
  6. P

    KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    Chama cha demokrasia viongozi wana uhuru wa kugombea bila kukoma. Bonge la paradox. Hlf uamuzi mkubwa kama huu umefanyika kihuni bila kutushirikisha wanachama. Leo hii chama kinapata wapi moral authority kutaka ushikishwaji zaidi wa wananchi kwenye mchakato wa katiba unaoendelea???? Unafiki...
  7. P

    Viongozi wa CHADEMA kutoa majibu ya UONGO dhidi ya hoja za kweli za Mwigamba ni kwa faida ya nani?

    Na mbaya zaidi mwigamba aliyeusema ukweli amepigwa na anaendelea kuitwa msaliti. Sasa unajiuliza wanachojaribu kukilinda ni nini? Very dissapointed
  8. P

    Viongozi wa CHADEMA kutoa majibu ya UONGO dhidi ya hoja za kweli za Mwigamba ni kwa faida ya nani?

    Nani atawakomboa watanzania? Kila kona usanii tu, mpk Slaa? Daaaaamn.
  9. P

    Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Uongozi wa juu chadema haujajiandaa kukabiliana na changamoto za kukua kwa kasi kwa chama. Whether ni ukabila ama uswahiba wa kikundi fulani ndani ya chama vyovyote vile havitasimama, demokrasia inatabia ya kuwaibisha wanaojaribu kuizuia. People's power
  10. P

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Moderator mpeni walao karipio huyu ndugu malaria sugu, this is too much, anaharibu hii forum.
  11. P

    Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Dk Slaa afunika Tuesday, 27 July 2010 06:33 *Wapigakura waafiki aache jimbo awanie urais Na Tumaini Makene, Karatu MSAFARA wa kumsindikiza mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa ulisimamisha shughuli za wananchi wa mikoa ya Arusha na Manyara kwa...
  12. P

    Wanyamwezi na wasukuma

    Wewe naye!!!!, ukabila ndio utaleta maendeleo Tanzania na Africa, najua utabisha lakini ni kwakuwa haujafungua mabano kwa fikra...pole.
  13. P

    Why African countries have failed over decades to control preventable diseases?

    Malaria, TB, HIV/AIDS remain the leading causes of both children and adult mortality in Sub-saharan Africa. For decades now, we have witnessed a growing global attention and billions of money is being given to support the region's fight against these diseases. It's however dissapointing to see...
  14. P

    Zitto Kabwe Na Ajenda Yake Moja

    Wrong approach, ndo maana hatuendelei. Siasa zetu ni mchiriku na bongo fleva, zinakuwa shaped na personalities. Mfumo wa aina hii daima utanufaisha kikundi kidogo cha jamii na wengi tutabaki kuwa masalia ndani ya nchi, haijalishi chama gani kitatawala.
  15. P

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Kama ilivyo kwa mada nyingi, sina cha kuongea hapa. Lakini walao safari hii napenda tu kusema wazee mmewiva.....hii forum idumu. Natamani kama kila mtanzania mwenye umri wa kupiga au kupigiwa kura angekuwa na nafasi ya kusoma mambo yanayojadiliwa humu.
Back
Top Bottom