Inakatisha Tamaa sana vyama vyetu vyooooote vimejaa wahuni si ccm, chadema, nccr ...... you name it. Tufanye nini. Binafsi nakata tamaa. Sasa sishangai kwnn Hata wasomi wengi tumeamua kuishi kimkatokato tu. we r a country in a verge of total collapse... morally. Respect kwa watu wachache kama...
Ukabila hauna consesus labda kundi moja likubali kupoteza na kuwaachia kundi jingine. Hapa dawa ni kuwa kundi la akina Lema liache chuki iliyowazi dhidi ya Zitto. Kwa mabandiko aliyotoa Lema inajidhihirisha wazi kuwa anawakilisha kikundi kilichojaa kiburi na wivu mkubwa na wanayohofu kubwa kuwa...
Exellent record, keep them coming. Dawa ya kudeal na hawa loosers ni kuchapa kazi kama hizi, acha wagombanie posho na ruzuku, wanapenda hela kama nn, hawana kabisa utu mbele ya pesa, hlf huyu ----- anatuhubiria eti utu...mnafiki sana Lema.
Zitto Kabwe anafaa kuiongoza chadema sasa, kelele zote hizi ni kwakuwa wanakuogopa. Sambaratisha ukaskazini ndani ya cdm chama kiwe na sura ya kitaifa.
Chama cha demokrasia viongozi wana uhuru wa kugombea bila kukoma. Bonge la paradox. Hlf uamuzi mkubwa kama huu umefanyika kihuni bila kutushirikisha wanachama. Leo hii chama kinapata wapi moral authority kutaka ushikishwaji zaidi wa wananchi kwenye mchakato wa katiba unaoendelea???? Unafiki...
Uongozi wa juu chadema haujajiandaa kukabiliana na changamoto za kukua kwa kasi kwa chama. Whether ni ukabila ama uswahiba wa kikundi fulani ndani ya chama vyovyote vile havitasimama, demokrasia inatabia ya kuwaibisha wanaojaribu kuizuia. People's power
Dk Slaa afunika
Tuesday, 27 July 2010 06:33
*Wapigakura waafiki aache jimbo awanie urais
Na Tumaini Makene, Karatu
MSAFARA wa kumsindikiza mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa ulisimamisha shughuli za wananchi wa mikoa ya Arusha na Manyara kwa...
Malaria, TB, HIV/AIDS remain the leading causes of both children and adult mortality in Sub-saharan Africa. For decades now, we have witnessed a growing global attention and billions of money is being given to support the region's fight against these diseases. It's however dissapointing to see...
Wrong approach, ndo maana hatuendelei. Siasa zetu ni mchiriku na bongo fleva, zinakuwa shaped na personalities. Mfumo wa aina hii daima utanufaisha kikundi kidogo cha jamii na wengi tutabaki kuwa masalia ndani ya nchi, haijalishi chama gani kitatawala.
Kama ilivyo kwa mada nyingi, sina cha kuongea hapa. Lakini walao safari hii napenda tu kusema wazee mmewiva.....hii forum idumu. Natamani kama kila mtanzania mwenye umri wa kupiga au kupigiwa kura angekuwa na nafasi ya kusoma mambo yanayojadiliwa humu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.