Recent content by One Means Together

  1. One Means Together

    Mwana FA, Fan(s) nii wimbo wake upi unaukumbali?

    tayari,kiza cha magharibi kimejiri, taratibu watu chini ya madari kujisitiri, hofu inakaza kiburi, kila wingu la jicho linaposawiri, mafukara wana furaha na afadhali, nitafika asubuhi? ndio swali la matajiri..... big up sana mwanafalsafa,aka MP(Member of Parliament)
  2. One Means Together

    Mwana FA, Fan(s) nii wimbo wake upi unaukumbali?

    Naiomba kama unayo mkuu,nimetafuta sana hili dini kwa mda kidogo
  3. One Means Together

    Nafasi za kazi 16/07/2014

    Wanaoelewa watajua cha kufanya. But kama unaona haikuhusu ,sio lazima. Kama unaweza kazi kafanye kazi.
Back
Top Bottom