Najua wengi TUmeguswa na hili la mlipuko wa mabomu ya Gongolamboto, mna hasira, uchungu na majonzi mengi. Ila nafikiri kwa sasa kinachohitajika zaidi si kutafuta mchawi au kuorodhesha mapungufu na mahali pa kutupia lawama.
Bali kama Taifa tuu...ngane kwa pamoja tuwasaidie wahanga na waathirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.