Recent content by Omuregi Wasu

  1. Omuregi Wasu

    Nasema siwezi kuacha kuchepuka

    duh kama kigezo ni wingi wa wanawake basi nao wasingekuwa wanachepuka. Bukoba kuna mwanamke wa mtu kafia guest house akiwa na jamaa. Alichepuka nae au kijijini kwao wanaume ni wachache kuliko wanawake?
  2. Omuregi Wasu

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Siyo kosa mradi tu iwe kweli. Kuondoa shida we piga picha fanya attachment
  3. Omuregi Wasu

    Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Niko Dodoma ila sijaona usemacho. Naona malori yanaleta watu toka vijijini tu
  4. Omuregi Wasu

    Magufuli ametambua ukweli kuhusu ukosefu wa dawa mahospitalini!

    Waregi tunaoa tu, For 15 years of Dk. Magufuli in office as Minister and deputy Minister of Works nitajie barabara moja tu aliyosimamia itakayomaliza design period yake without premature failure?
  5. Omuregi Wasu

    Magufuli ametambua ukweli kuhusu ukosefu wa dawa mahospitalini!

    Aisee, Una hakika Magufuli ana washauri wazuri? Nadhani post hii umeandikiwa na mchumba wako siyo wewe!!
  6. Omuregi Wasu

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Magufuli waziri mchapakazi anayeelekeza kazi za Ujenzi wa Kihandisi wakati hajasajiriwa na bodi ya Wahandisi - Watu wanamsifia
  7. Omuregi Wasu

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Upuuzi, Lowasa ameomba maombi siyo kura hivyo mwacheni
  8. Omuregi Wasu

    Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

    Mkuu, sijaona kijembe kwa Lowasa hapo ila ni tafsiri mbaya tu. Kashifa si Richmond pekee bali kuna orodha ndefu 1. Loliondo gate -1984 2. Chavda na akina mrema 3. Mohamed Grahm Enterprises na mashamba ya mkonge Tanga 4. Utoroshaji Dhahabu na mama Siti Mwinyi 5. Meremeta 6. Deep Green 7. meno ya...
  9. Omuregi Wasu

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Ndugu yangu ebu fisadi ni nani kati ya anaesimamia barabara na kulipa wakati hazina ubora. Zinabomoka kabla ya muda. Fisadi ni yule anayezalisha deni linalokua kila siku kwa tozo za faida kwenye Ujenzi wa barabara ambapo tuna deni lisilo la kazi la Shilingi trilioni 1.2, Fisadi ni yule aliyeuza...
  10. Omuregi Wasu

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    It is Lowasa .... Hao wengine ni bandia kama barabara zao wanazojenga zilivyobandia
  11. Omuregi Wasu

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Hapa Chadema iwe makini maana wengi walianguka kura za maoni. Mpendazole hajawahi kufika Kishapu toka apoteze ubunge leo anateuliwa kugombea. Naona mnachezea kichapo tu
  12. Omuregi Wasu

    Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

    Hivi kuonyesha mihemko ndio demokrasia kwako?
  13. Omuregi Wasu

    Utafiti: Akili za wabongo zimedumaa kwa kubeba mizigo kichwani

    Weka hapa huo utafiti feki ili tuuchambue vizuri. Compressive stress za ndoo ya maji au begi zinaishia first 1 mm ya kichwa na ubebwa zaidi na fuvu la ubongo ambalo halijawahi kuonekana kuwa na deformation wala crack kwa mtu yeyote anayebeba kitu kichwani sasa huo ubongo unabonyeaje?? Lete hapa...
  14. Omuregi Wasu

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Serikali mpya ni ya Ukawa siyo Chadema!! Be specific man
Back
Top Bottom