Recent content by Okhondima

  1. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Tanesco wameshafanya yao. Zimeisha nyimbo za taifa tu, wamegusa switch. Halafu mniambie nikifa niende motoni wakati tayari nipo Tanzania [emoji23]
  2. Okhondima

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Word Cup season hii.
  3. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Tanesco baba lao. Na mie nimeingia kwenye kundi la walokatiwa umeme.
  4. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kuna mwaka hawa tbc walikuwa wanachambua mpira, marehemu Mwalimu Kashasha (Mungu amrehemu) alikuwa kashika fimbo huku anaelekeza kwenye tv pale. Bora leo naona wameweka big screen hapo.
  5. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Huyu time keeper wa tbc anataka aongee yeye kila saa kuliko wachambuzi. Anakeraaa [emoji23]
  6. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kifurushi sasa hivi ni 56 ulufu. Ngoja tukomae na Dr. Leaky kwa muda hadi mwisho wa mwezi.
  7. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mkuu na wewe unaangalia TBC kama mimi. Sie wazalendo [emoji2][emoji23]
  8. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    [emoji23][emoji23]
  9. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Lakini tupo wengi kuliko Qatar [emoji23][emoji23]
  10. Okhondima

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Vipi watanzania tunaweza na sie au bado tuendelee kungoja kwanza?
  11. Okhondima

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Shida zipo tu.
  12. Okhondima

    Black Panther 2

    Upunga unakosaje mzee, jana naangalia movie unaona mtiririko unaenda fresh mara ghafla usagaji huu hapa. Tukubali tumeisha tu.
  13. Okhondima

    Sasa ni Harmonize VS Zuchu

    Zuchu kasema "Nawaitu" Kipaza sauti kinahamia kwa Harmonize sasa, ayakanyage mtoto wa Malkia wa Mipasho ayamalize. [emoji897][emoji897]
  14. Okhondima

    Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    TP Mazembe 8-0 Club Africain Leo katika historia.
  15. Okhondima

    Force Account: hata Kipanya anajua madudu!

    Kuna nini kinaendelea tena katika hii nchi? Ghafla kuna neno jipya [emoji15]
Back
Top Bottom