Recent content by Ojuk

  1. O

    Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    kwani Uli mwenyewe c yupo?hp now ni wakati muafaka kwake kufunguka ili atueleze yaliiyo chini ya kapeti.
  2. O

    Tamko la Taasisi ya Wahandisi kuhusu kuporomoka kwa Jengo la ghorofa 16

    Mmm!what I can say right now they'r innocent till proven guilty.this is b'cz c wote wanaopata hizo 10%.kuna waaminifu kata yao though kwani sasa c rahic kuwatambua cz ya jazba,let wait.....
  3. O

    Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    Mi nimechoka na kusikia maneno haya (wabaya wangu nawajua na ipo siku ntawataja), Ndugu Mchambuzi sasa kama hao watu umetajiwa nawe umejiridhisha kuwa ndo wenyewe wanaokuwinda, so what are you waiting 4 to mention their names on public?????Hebu jifunze kwa Dr. Slaa na list of SHAME aliyoilipua...
  4. O

    Hi ndiyo ilikuwa tofauti kubwa aliyoigundua Nyerere kati ya Mkapa na Kikwete mwaka 1995

    Ukweli ni kwamba kila mtu (Mkapa na JK) wana mabaya na mazuri yao, though huzidiana, na sasa ya ------ yamezidi mno na hasa mabaya (Udini ndo pabaya zaidi:nono:) sijui ndo LAIZZER AFFAIR rulling style........
  5. O

    Hofu ya ugaidi: Ibada ya mkesha wa pasaka kuanza saa 11 jioni!;

    Well said, tena inabidi tufunge tukimaanisha na si kushinda njaa tuu, kweli hawa watu ni hatari. Note!Mungu akiwa upande wetu nani atakuwa juu yetu? Amini hakuna na Ibada zitasimama kama kawaida kwa jina la yeye mwenye uweza wa yote.
  6. O

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa 'picha' ya aliyemuua padre Mushi

    Sasa napata shaka sana kuhusu hii technologia ya kutumia michoro, maana kama FBI hawatahusishwa kwa bongo yetu sitashangaa kuona mkubwa anato order ichorwe taswira ya mtu mwenye Bifu naye while he/she is innocent. Sijui Tanzania yetu inaelekea wapi as tunataka Digital while we did not build well...
Back
Top Bottom