Recent content by octi

  1. O

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Daaaaaah hivi ni kweli nchi Ina EWURA au HAINA wana CCM wenzangu???? Na kama wapo anafanya kazi CHINI YA Nani????? Leo Moshi Kilimanjaro PETROL [emoji618] Mji Mzima hawauzi Kisa I napanda Bei kesho j5 hii ni Sawa jamani Kwanini serekali yetu sikivu Leo Haina MAAMUZI WALA MSEMAJI MKUU...
  2. O

    Rais Samia ni zaidi ya mzalendo wa kweli

    Nimetafakari kwa kina kwa nilichokiona kikitokea juzi kwenye mkutano wa Mkuu Wa nchi na vyama vya kumuonyesha changamoto zilipo ni KITU CHA KIUNGWANA NA HESHIMA KUBWA [emoji1241]. Mwanamke huyu Mkuu Wa nchi kwanza ni HODARI SHUJAA SHUPAVU MSTAHIMILIVU NA MWENYE ROHO YA KIPEKEE kitendo ambacho...
  3. O

    Tujitahidi kumuunga Rais wetu Mkono kwa kuwajibika

    Taifa letu La Tanzania [emoji1241] linahitaji uwajibikaji wa hali ya juu katika kutekeleza majukumu yetu ya kila kukicha, pasipo kufanya hivyo tunalibomoa na kurudisha au kuchelewesha kabisa maendeleo ya Taifa letu. Mfano mzuri ni kufika kwa wakati katika ofisi zetu za Uma Mfano mahakamani...
Back
Top Bottom