Recent content by Obhusegwe

  1. Obhusegwe

    Credibility check: Enhance Auto

    Thanks kwa ushauri
  2. Obhusegwe

    Credibility check: Enhance Auto

    Wakuu, habari ya mei mosi? Naomba msaada kama kuna mtu alishawahi kununua gari kutoka kwa hawa jamaa wanaitwa enhance auto: Japanese Used Cars Exporter Enhance Auto Kuna gari nimeliona kwao nataka nilifatilie sasa nisije nikalizwa bila kuuliza. Ahsanteni kwa msaada
  3. Obhusegwe

    10 things not to buy in 2014

    Kwani netflix na hulu zishaanza kupatikana bongo?
  4. Obhusegwe

    Should You Run the AC or Open Windows ili u okoe mafuta?

    Ukweli ni kwamba A inakula wese sana W washa kama una mafuta ya kutosha, kama huna usijidanganye na mmboya drau bra bra hapo juu
  5. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Ahsante sana wakubwa, nimeshapata
  6. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Imetembea muda gani hapa Tz?
  7. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Hi wana-JF Nahitaji gari, Toyota Vitz yenye specifications zifuatazo: 5 doors Automatic Transmission Less than 80,000km Should be in mint condition Color: Silver or Black Offer: TZS: 5,000,000 Mwenye nayo ani-PM au call 0767535989. Thanks
  8. Obhusegwe

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Dah, Badala ya kujadiliana tunaanza kutunishiana misuli. Kuonyeshana nani ana akili zaidi ya mwenzake. Hili nalo ni tatizo
  9. Obhusegwe

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hatuwezi kuona faida ya wasomi kama serikali itaendelea kudhibiti uhuru na uwezo wa wasomi kutumia akili zao. Jiulize: 1. Ni fedha kiasi gani za research zinatengwa serikalini? 2. Ni research findings na reccomendations ngapi zinachukuliwa serious na kuwa funded na serikali? 3. Kwa nini wakuu...
  10. Obhusegwe

    Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta

    Acha hizo. Hiyo ni kawaida. Mi mwenyewe nasukuma zote mannual na automatic na nikiingia auto kushoto breki kulia mafuta. It plays so well. Haya mambo ua hamisha hamisha mi siyawezi
  11. Obhusegwe

    Nyumba ya kupanga tegeta/boko

    Mkuu, ninayo nyumba iko Bahari beach tuwasiliane 0767535989
  12. Obhusegwe

    Kitchen Cabinets, wapi naweza kupata designer mzuri?

    Hi wana JF Nahitaji mtaalam au kampuni ya kudesign na kutengeneza cabinets za jikoni. Awe ana kazi halisi alizowahi kufanya, au samples kwny duka/workshop/show room yake. Kama ana picha, basi ziwe halisi alizopiga mwenyewe na si za magazetini. If you know one, please nijulishe. Namba yangu ni...
  13. Obhusegwe

    Inahitajika: Toyota Noah 2003 model

    Inahitajika Toyota Noah 2003 model Color: Iwe Silver Mileage: Isizidi 120,000 Gari liwe katika hali nzuri Budget: 10-11 million TZS Kama unayo ni-PM tufanye biashara. Simu 0767000641
  14. Obhusegwe

    New 2003 noah for sale

    Nimeku-PM, tuongee biashara
Back
Top Bottom