Recent content by Nzogupata

  1. N

    Habari Leo - Wasichana vyuo vikuu hufaulishwa kwa kuridhia ngono kwa wahadhiri

    Nashukuru wadau wengi mmeona uzushi wa habari hii. Nakukosoa mwandishi mchunguzi kama ifuatavyo; 1. wasichana uliowahoji ulijuaje kama hawa hakika ni wanachuo tena elimu ya juu? Justification of respondents 2. Ulipoambiwa na dada mmoja tu ukathibitsha uvumi badala ya kufanya extensive and...
  2. N

    Mwenyekiti wa kamati ya madaktari atishiwa usalama wake

    madaktari na wataalamu wenzangu muwe makini sana hasa mtakapokutana na pm. Pm ni mzuri sana waku-sympathise na watu na anaweza kabisa akafanya mabadiliko ktk stahiki zenu. Tabu niionayo baada ya mkutano wenu ni; 1. Unaweza mkakuta wengi wenu ama baadhi yenu mkaambiwa taaluma zenu hazitambuliki...
  3. N

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Kwa nin i hawajamtimua mkutanoni aone aibu? watu kama hawa ni kuwazuia mlangon wasiingie
  4. N

    Exam results

    kama si mdini ni muislamu sana tena huo urais haupati kwa element hiyo marafiki zake mbona wengi wa imani yake tu
  5. N

    Udom chumvi zamwagwa milangoni na kwenye corridor jengo kuu la utawala..........

    Watu wantetea vti vyao wamestaafu lkn hatujaona wakenda lkizo lakustafu wanpeta tu na vais chance na wengne wanatisha wa2 waogope labda kwa mengi wayatendayo daile kwa wafanyakzi na wanafnzi. CHEO BWANA hawakmbuki ipo siku tu itafka na watashangaa maisha yao
  6. N

    Waraka wangu kwa chuo kikuu cha dodoma na bodi ya uhasibu nbaaa

    wewe unazungumza nov 2011 waulize waliomaliza nov 2010 hawajapewa nao. Utaratibu wakifedha haujakamilika mtalipwa tu maana chuo hiki kinafuata sana utaratibu wakisheria kisijekosea mkawacheka.
  7. N

    Degree za namna hii bado zinaendelea UDSM jamani???

    Wajua UDOM wanachuo bila kujali jinsia zao wanazipataje? Ulizia huku unazungumzia maprof wanatomasa pale wak w idar ndo wanwp kwa ......
  8. N

    Je, CAG alichakachua hata taarifa ya ukaguzi UDOM?

    wandugu mlichakachuliwa, iweje bunge lichakachuliwe nyie mmbaki? Poleni lakini hayo ndo malipo yao waliwachakachua nyie wazoea na sasa wamechakachua cv zao
  9. N

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Ni wazi wakristo hapa nchini sasa wana hali ngumu sana. Unafiki wetu pia unatuumiza. Uchaguzi ilikuwa wazi ni ukristo vs uislam tukawapigia kura waislamu kwakudhani mungu ndo atawalipa kwa ubaya wao. Yameanza kutufika kwa viongozi wa juu waliowatetezi wetu na kwa ukristo wao watamalizwa kama...
  10. N

    Kikwete wants action on power blues

    1. NAPATA SHAKA KAMA HAJAARIFIWA TENA KUWA WALIOKUWA WANANUFAIKA NA GIZA SASA WAMECHOKA KUUZA GENERATORS 2. MUDA HUU WOTE KAJICHIMBIA KUPIGA PICHA NA WATU AMA VIONGOZI WASIOKUWA NA MGAWO KAMA WA NCHINI MWAKE 3. YAWEZEKANA PIA ALIKUWA KAWAKUMBUKA WATEULE WAKE KUKUTANA WACHEKE WAKATI NCHI MIEZI...
  11. N

    CCM na vyombo vya usalama waungana kupambana na CHADEMA

    Una maanisha hukujua kuwa ccm ni kwa ajili ya bakwata na usalama wa taifa? aliyosema jk dodoma wkt wa idd si yaliyoko kwenye practice. Udini mtupu kila kona
  12. N

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Bakwata na Basuta mmeliona la hijabu tu, mnasemaje kuhusu redio imaan ya morogoro na vipazia sauti vinavyokashifu wakristo kwa sauti za kupaza? Mnadhani ni nmyie tu ndo mmedhalilishwa? Yametokea na yanaendelea kutokea katika taasisi kubwa ya umma ya elimu ya juu mpya hapa nchini ya mwanachuo...
  13. N

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Aliyosoma huyo mzee luhanjo yaweza kuwa yake. Lakin mie nimejiuliza maswali mengi sana; 1. Baharia kasema na kunukuliwa gazeti la mtanzania la leo kuwa walitoa taarifa za meli kutaka kuanza kuzama saa saba kasoro usiku ktk mamlaka zote za nchi hii (polisi, jeshi) kote bara na visiwani. Cha...
  14. N

    Mgogoro wa uongozi na wakufunzi chuo cha Ustawi utaisha lini?

    pale ccm na viongozi wao watakapoacha kuteua watu kwa itikadi za vyama ama imani zao za makanisa au misikiti, elimu yetu na mambo mengine yatasonga mbele. wateule wanawaza kukuza imani za dini zao kwenye taasisi za umma kwa kodi za watz wote au itikadi ya chama fulani kana kwamba vingine ni...
  15. N

    Hotuba ya Rais ya Kikwete kwenye baraza la Idd-Mawazo yangu

    Kama waislamu wamechukizwa na hotuba hiyo, unadhani wakristo wanafurahishwa na makongamano yakukashifu ukristo yanayoendelea toka tabora, UDOM (university of Dodoma), Arusha na kwingineko nchini? 2. Je unadhani udini aliouzungumzia Mh Presdent unagusa manyanyaso na kupuuzwa ama kutishiwa na hata...
Back
Top Bottom