Recent content by nzobhe

  1. nzobhe

    Dr. Harrison Mwakyembe anafaa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa JMT

    Nimeikuta mahala hii karatasi....
  2. nzobhe

    Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

    Kwa wasukuma inatamkwa Noko (nadhani ndo hiyo nyoko) ikiwa na maana ya mama!
  3. nzobhe

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Yaan we kukosa sifa unachanganya na udini....pia ukiona muislam kapata kazi jua anasifa kuliko ambaye si muislm
  4. nzobhe

    Harbinder Singh Sethi: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa

    Mwarabu au muhindi???????? Check out ur source
  5. nzobhe

    Viambatanishi vya uongobvya muhongo hivi hapa

    k Muhongo alidanganya kuhusu viambatanisho,...tazama kurasa hii
  6. nzobhe

    Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    Ushahidi wa kihesabu huwa haujibiwi...pia report ya CAG huwa haina majibu unless wanataka watudanganye tu. Acha juwa punda kwa kubeba mizigo usiyo ifahamu
  7. nzobhe

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Kweli wewe ni foxy....
  8. nzobhe

    DODOMA: Zitto na kamati yake wamekesha

    Naona Vijana machachali..... 1.luhaga Joelson Mpina 2.zitto Zubeil kabwe 3.Deo filikunjombe .....Tanzania itawakumbuka
  9. nzobhe

    Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

    ......mbona nimewataja? Huoni hayo majina? Bado huoni tu ndugu? Basi subiri wakati ripoti ya Escrow inasomwa utapata labda utayaelewa ila kwa sasa hutaelewa kwa uelewa huo!
  10. nzobhe

    Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

    Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa. Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza...
  11. nzobhe

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Yes against ukawa and no against mafisadi
  12. nzobhe

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Huu uzi umecopy na kutupastia hapa coz upo humu toka jana....usiwe mvivu soma "nyuzi" kwanza ndo upaste na uweke source....otherwise mwigulu hana lolote ukali wa mbwa koko
  13. nzobhe

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Ungesema waziri mkuu ajae ni Magufuri ningekuelewa
  14. nzobhe

    Hii ndio hatari inayomkabili Pinda bungeni

    Huyu Pinda haweza hata umwenyekiti wa kitongoji coz hawezi kutoa maamuzi....toka aanze kuongoza ofisi ya Waziri Mkuu hakuna mabadiriko ambayo ni tangible lakini tumeendelea kuona wananchi kuonewa (tokomeza) na hata halmashauri kukosa pesa ....na kufanya wananchi kuendelea kukamuliwa katika...
Back
Top Bottom