Ushahidi wa kihesabu huwa haujibiwi...pia report ya CAG huwa haina majibu unless wanataka watudanganye tu.
Acha juwa punda kwa kubeba mizigo usiyo ifahamu
......mbona nimewataja? Huoni hayo majina?
Bado huoni tu ndugu? Basi subiri wakati ripoti ya Escrow inasomwa utapata labda utayaelewa ila kwa sasa hutaelewa kwa uelewa huo!
Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.
Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza...
Huu uzi umecopy na kutupastia hapa coz upo humu toka jana....usiwe mvivu soma "nyuzi" kwanza ndo upaste na uweke source....otherwise mwigulu hana lolote ukali wa mbwa koko
Huyu Pinda haweza hata umwenyekiti wa kitongoji coz hawezi kutoa maamuzi....toka aanze kuongoza ofisi ya Waziri Mkuu hakuna mabadiriko ambayo ni tangible lakini tumeendelea kuona wananchi kuonewa (tokomeza) na hata halmashauri kukosa pesa ....na kufanya wananchi kuendelea kukamuliwa katika...
Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.
Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.
More to come...
Wasipofungwa hawa watu au mtu yoyote asipochukuliwa hatua .....tutachukua hata maandazi tuingie mtaani then vigogo watatafuta chai kwan tutawapa mandazi ya bure
Naomba awe shujaa wa kuiba kura za sherembi shinyanga wala si shujaa wa Taifa hili.
Kwasababu aligeuzwa toilet na kutumiwa kutoa maneno ambayo yalikuwa yanatetea wala rushwa nchini .masele alitumiwa na mapapa wa IPTL kudanganya umma kwa kutukana balozi wa uingereza eti anaingilianmambo ya nchi.
Masele alijichanganya mwenyewe kwa kupewa karatasi nyenye maandishi ,hivyo alikwenda kusoma karatasi ambayo haijui imeandikwa nn..poor him wanapenda kutumiwa kama toilet paper (samahani).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.