Polisi Wetu Wapo Kama Watoto, Wakipewa Pipi Husahau Yote Ya Nyuma, Mfano, Walianzisha Ukaguzi Unapovuka Pantoni, Ukiingia Mlimani City Unakaguliwa, Ulinzi Vituo Vyao Uliimarishwa, VP ULINZI HUO BADO UPO?
Unamkuta Polis Yupo Lindoni Anachezea Simu Kwenye Whatsap,twita,instagram,facebook, Na...
Shida sio Watanznia, shida ni Polisi, hawataki kubadilika kulingana na mazingira ya sasa, mfano, unamkuta askari yupo lindoni Anachezea Simu Anaongea au Utamkuta Yupo Whatsapp, twitter, Instagram, Na Hapo Yupo Na Silaha! Au Utawakuta Wamerundikana Sehemu Moja Wanabishana Simba Na Yanga, Hapo...
Uchaguzi Umekwisha, Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Hila. Sasa Kama Kweli Mgombea Aliyepachikwa Na Chama Anapendwa Na Wananchi Kuliko Lowasa, Atashinda Uchaguzi, Kwa Kuwa Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Uonevu Na Hila, NAPENDEKEZA KURA ZETU ZOTE KWA UKAWA DR SLAA.TUWAACHIE MGOMBEA WAO.TUKUTANE OKTOBA
Kamati Kuu Imekosa Sifa, Imeteua Wagombea Wasio Na Chembe Hata Kidogo Ya Haiba Ya Uongozi, Kwa Mfano January Makamba Anasifa Ipi Kumpita Mwandosa Au Pinda? Napendekeza Halmashauri Kuu Ya C.C.M Iifukuze Kazi Haraka Sana Kamati Kuu
SISI TUNATAKA RAIS ATAKAESHUGHURIKA NA MATATIZO YA TAIFA SIYO YA CHAMA,kama Anataka Kushughulika Na Chama Hata Sasa Anaweza Kukiimarisha Chama Chake Kwani Anashindwa Nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.