Search results

  1. N

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Polisi Wetu Wapo Kama Watoto, Wakipewa Pipi Husahau Yote Ya Nyuma, Mfano, Walianzisha Ukaguzi Unapovuka Pantoni, Ukiingia Mlimani City Unakaguliwa, Ulinzi Vituo Vyao Uliimarishwa, VP ULINZI HUO BADO UPO? Unamkuta Polis Yupo Lindoni Anachezea Simu Kwenye Whatsap,twita,instagram,facebook, Na...
  2. N

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Shida sio Watanznia, shida ni Polisi, hawataki kubadilika kulingana na mazingira ya sasa, mfano, unamkuta askari yupo lindoni Anachezea Simu Anaongea au Utamkuta Yupo Whatsapp, twitter, Instagram, Na Hapo Yupo Na Silaha! Au Utawakuta Wamerundikana Sehemu Moja Wanabishana Simba Na Yanga, Hapo...
  3. N

    Kambi ya Lowassa njooni hapa tumnadi Magufuli

    ILI NIVUTE WASOMAJI WAKIJA WAPATE UJUMBE WANGU,NAO NI Kupiga Kura Za Maruhani Kwenda Ukawa.
  4. N

    Kambi ya Lowassa njooni hapa tumnadi Magufuli

    Uchaguzi Umekwisha, Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Hila. Sasa Kama Kweli Mgombea Aliyepachikwa Na Chama Anapendwa Na Wananchi Kuliko Lowasa, Atashinda Uchaguzi, Kwa Kuwa Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Uonevu Na Hila, NAPENDEKEZA KURA ZETU ZOTE KWA UKAWA DR SLAA.TUWAACHIE MGOMBEA WAO.TUKUTANE OKTOBA
  5. N

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kamati Kuu Imekosa Sifa, Imeteua Wagombea Wasio Na Chembe Hata Kidogo Ya Haiba Ya Uongozi, Kwa Mfano January Makamba Anasifa Ipi Kumpita Mwandosa Au Pinda? Napendekeza Halmashauri Kuu Ya C.C.M Iifukuze Kazi Haraka Sana Kamati Kuu
  6. N

    Kisu chaua mke na mme, kisa ugomvi wandani

    Habari Bila Picha, Ni Sawa Na Mwanamke Bila Shanga, Au Ni Sawa Na Pilau Bila Kachumbali.
  7. N

    Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ajivua uanachama CHADEMA

    Alikuwa Makamu Mwenyekiti, Sasa Huo Udhaifu Kwanini Hakuusema Siku Zote?
  8. N

    Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    Huyo Philipa Mturano Aliwah Kuzungumza Bungeni Hata Siku Moja? Mi Sikuwa Namjua Kabisa,wenye Data Zake Shusheni Vitu Tumjue.
  9. N

    Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

    Mwenzako Kazaa Na Lema Hvy Ni Wivu Unaomsumbua
  10. N

    Makongoro Nyerere: Mkinichagua, nitaanza kushughulika na kukiimarisha chama

    SISI TUNATAKA RAIS ATAKAESHUGHURIKA NA MATATIZO YA TAIFA SIYO YA CHAMA,kama Anataka Kushughulika Na Chama Hata Sasa Anaweza Kukiimarisha Chama Chake Kwani Anashindwa Nini?
  11. N

    Orodhesha Mashirika ya Ndege Uliyowahi kusafiri nayo na Lipi unalipenda kupita yote

    Orodhesha MADEMU WAKO WOTE ULOWAHI KUWATUPIA RUNGU LENYE JICHO MOJA, KISHA ELEZA NI YUPI ALIEKUNOGESHA HADI LEO UNAMKUMBUKA?
  12. N

    Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    MUNGU ANASINGIZIWA, Watu 20 Wamekaa Juu Ya Keria,bado Waliojazana Ndani, Gari Ni Wanteni 110,uwezo Wake Wa Kubeba Hawazidi Kumi Wao Wamezidisha Idadi, SASA HUO MPANGO WA MUNGU UNAHUSIKAJE HAPO?
  13. N

    Kwanini Serikali inawajengea nyumba walimu?

    JIBU NIMESHAKUPA MBONA HUJAJIBU? NIMEKUULIZA Kwanini Wafanyakazi Wengne Wanalipwa Posho Na Waalimu Hawalipwi Posho? Kwanini Wafanyakazi Wengine Wanalipwa Mishahara Mizito Inayowawezesha Kujenga Nyumba Bora Kwa Kipindi Kifupi Wakati Mwalimu Analipwa Mshahara Mdogo? MBONA HUJIBU?
  14. N

    Kwanini Serikali inawajengea nyumba walimu?

    We Unakichaa, Umejiuliza Kwanini Waalimu Hawalipwi POSHO WALA NIGHT NA WAFANYAKAZI WENGINE WANALIPWA WAKATI KAZI WANAZOZIFANYA HADI KULIPWA POSHO WANALIPWA MSHAHARA? Kwanini Hizo Posho Zisiende Kwenye Ujenzi Wa Barabara Vijijini? Umewahi Kujiuliza Mwalimu Wa Digrii Anapoanza Kazi Analipwa Laki...
  15. N

    Mnaikumbuka Hotuba ya Kikwete ya kuzindua Bunge mwaka 2005?

    Ungeziweka Hizo Hotuba Zao Zote Mbili Ungefanikiwa Kujenga Hoja Vzr, Maana Wengine Hawana, Watachangia Nini?
  16. N

    Kwanini wanawake wamejiweka kando kugombea nafasi ya urais?

    NIPE KIREFU CHA HILO NENO MBAV.. Kabla Sijakuchukulia Hatua Za Kisheria Dhidi Yako.
Back
Top Bottom