Recent content by nyakati

  1. N

    Wakinadada ni wabahili jamani

    Duuu! Kwa wale wakristo hasa wanawake ebu wasome Mithali 31 yote waone ni nani anawajibu wa kutunza family. Shetani muongo sana ameharibu family nyingi ameharibu wanawake katika ndoa zao amewapiga upofu wadada hawaoni tena biblia zao ingawa wao ndio wanaongoza kuzibeba na kutafsir mistar midogo...
  2. N

    Bi mkubwa anagombana sana na mdogo wangu

    Nachukia mtu anayebishana na wazazi hasa mama. Usichukulie utani malezi ya mdogo wako. Na mama yenu akilegea mnavyomlegezea ninyi mtavuna mabua. Tabia ya mtoto wa kike kuzurura tu bila mpangilio sio sahihi, lkn pia kuwa na simu ambayo hamjui katoa wapi nalo ni tatizo. Ngojeni siku ahongwe kitu...
  3. N

    Naomba idadi ya matofali kujenga nyumba hii

    Okh! Basi ushauri tafuta fundi aende site ndio atakushauri vizuri. Seheme zenye muinuko zinakula tofali na cement acha masihara
  4. N

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    Tunajenga, tunasomesha tena c st. Kayumba shule za ukweli, tunakula, na mke pia na magari tunakopea huo huo mshahara bila kusahau vistuli virefu every jioni.
  5. N

    Naomba idadi ya matofali kujenga nyumba hii

    Ehe unajenga kwenye ardhi ya aina gani? Ina slope au n flat?
  6. N

    Msaada: Nataka kuezeka nyumba hii

    Mmh jamani mbao za mnazi ni nzuri kweli kama mdau alivyosema. Hofu yangu iko utakapopata minazi maana ili mnazi ufae kutengeneza kitu lazima upate mnaz uliokomaa vzr sasa jmn dar unaupata wapi? Hyo ya idadi hiyo? Labda uende pwani ukatafute uchane usafirishe mwisho wa siku gharama inakuwa ile...
  7. N

    Msaada: Nataka kuezeka nyumba hii

    Hongera mkuu ni hatua. Ushauri wangu hii nyumba jinsi inavyoonekana mpauo wake hautakua complicated utakua wa kawaida kabisa maana haina kona nyingi upauaji unategemea pia ramani ya nyumba chini ikoje idadi ya kona kuta zilivyochomoka. Kwa muonekano huo nyumba hii inakona nne za kawaida na...
  8. N

    Mwanamke wa kuzaa naye mtoto kwa makubaliano

    Habar wakuu. Mimi nipo tayari kwa mashart yafuatayo 1. Nijue uwezo wa IQ yako na family yote kwa ujumla 2. Kama wewe ni good looking 3. Hii ni pamoja na rangi yako usiwe mweusi sana kama mnubi. 4. Nione bank statement zako kujihakikishia hayo matunzo 5. Lakini la mwisho lazima nijihakikishie...
  9. N

    Kipi bora kwa huyu mtoto?

    Hapana akae na mtoto wake. Hao wa huko marekani wazae mtoto wao apate hzo benefit zao. Kiroho hiyo bond ni kitu muhimu sana. Kwanza hao watu wazima wenyewe huko marekani kujilea kazi mtoto akashinde daycare noo akae na bibi na babu yake i see.
  10. N

    Kipi bora kwa huyu mtoto?

    I see asimpeleke. Akae na mtoto wake. Bond ya mtoto na baba ni zaidi ya exposure. Duu tena US hapana jamani akae na mtoto wake.
  11. N

    Bomu la askofu Gwajima laisambaratisha CCM

    Mmh sijui umesoma vizuri dini yako kiukweli kabisa "HAKUNA DINI BILA SIASA" ingawa mimi sifungamani kokote. Kama hilo hulijui anza kulifanyia research leo itakusaidia. Unafikiri Nabii Suleiman asingekuwa mwanasiasa angeongoza nchi yake? Daud je? Usiogope unachotakiwa kufahamu siasa haiwez...
  12. N

    Nipo Moshi kikazi, mbona utitiri wa shule kila kona ninayopita?

    Mkuu huko hizo shule zilijengwa miaka mingi sana. Hata ule uhamasishaji wa kujengwa shule za kata wao haukuwahusu kabisa maana tayari wanashule za kutosha kwa kila kata wengi walichagua tu ipi iwe ya kata. Kama sasa hivi tunahangaika kujenga maabara utekelezaji wa agizo la Rais JK. Huko...
  13. N

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Ha ha ha ha Yapo mengi sana katika ndoa tupo tunaoenjoy alhamdu lilah. Usikate tamaa wanawake wazuri wapo na wanaume wazuri pia wapo. Karibu sana katika maisha ya ndoa.
  14. N

    Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

    Asante mkuu! Mungu ananipenda sana niko ok kwa sasa lakini bado nalala chali sioti wala sikabwi mie since then!
Back
Top Bottom