Duuu! Kwa wale wakristo hasa wanawake ebu wasome Mithali 31 yote waone ni nani anawajibu wa kutunza family. Shetani muongo sana ameharibu family nyingi ameharibu wanawake katika ndoa zao amewapiga upofu wadada hawaoni tena biblia zao ingawa wao ndio wanaongoza kuzibeba na kutafsir mistar midogo...
Nachukia mtu anayebishana na wazazi hasa mama. Usichukulie utani malezi ya mdogo wako. Na mama yenu akilegea mnavyomlegezea ninyi mtavuna mabua. Tabia ya mtoto wa kike kuzurura tu bila mpangilio sio sahihi, lkn pia kuwa na simu ambayo hamjui katoa wapi nalo ni tatizo. Ngojeni siku ahongwe kitu...
Tunajenga, tunasomesha tena c st. Kayumba shule za ukweli, tunakula, na mke pia na magari tunakopea huo huo mshahara bila kusahau vistuli virefu every jioni.
Mmh jamani mbao za mnazi ni nzuri kweli kama mdau alivyosema.
Hofu yangu iko utakapopata minazi maana ili mnazi ufae kutengeneza kitu lazima upate mnaz uliokomaa vzr sasa jmn dar unaupata wapi? Hyo ya idadi hiyo? Labda uende pwani ukatafute uchane usafirishe mwisho wa siku gharama inakuwa ile...
Hongera mkuu ni hatua.
Ushauri wangu hii nyumba jinsi inavyoonekana mpauo wake hautakua complicated utakua wa kawaida kabisa maana haina kona nyingi upauaji unategemea pia ramani ya nyumba chini ikoje idadi ya kona kuta zilivyochomoka. Kwa muonekano huo nyumba hii inakona nne za kawaida na...
Habar wakuu.
Mimi nipo tayari kwa mashart yafuatayo
1. Nijue uwezo wa IQ yako na family yote kwa ujumla
2. Kama wewe ni good looking
3. Hii ni pamoja na rangi yako usiwe mweusi sana kama mnubi.
4. Nione bank statement zako kujihakikishia hayo matunzo
5. Lakini la mwisho lazima nijihakikishie...
Hapana akae na mtoto wake. Hao wa huko marekani wazae mtoto wao apate hzo benefit zao. Kiroho hiyo bond ni kitu muhimu sana.
Kwanza hao watu wazima wenyewe huko marekani kujilea kazi mtoto akashinde daycare noo akae na bibi na babu yake i see.
Mmh sijui umesoma vizuri dini yako kiukweli kabisa "HAKUNA DINI BILA SIASA" ingawa mimi sifungamani kokote. Kama hilo hulijui anza kulifanyia research leo itakusaidia. Unafikiri Nabii Suleiman asingekuwa mwanasiasa angeongoza nchi yake? Daud je? Usiogope unachotakiwa kufahamu siasa haiwez...
Mkuu huko hizo shule zilijengwa miaka mingi sana.
Hata ule uhamasishaji wa kujengwa shule za kata wao haukuwahusu kabisa maana tayari wanashule za kutosha kwa kila kata wengi walichagua tu ipi iwe ya kata.
Kama sasa hivi tunahangaika kujenga maabara utekelezaji wa agizo la Rais JK.
Huko...
Ha ha ha ha
Yapo mengi sana katika ndoa tupo tunaoenjoy alhamdu lilah.
Usikate tamaa wanawake wazuri wapo na wanaume wazuri pia wapo.
Karibu sana katika maisha ya ndoa.
Kaaaaazi kweli kweli pole!
Hawa waubiri hawa wenzao wanahangaika kututoa misri tukairithi nchi wengine wana kazi ya kutipigilia misumari tubaki misri simply b'se ya kupewa mikate na wamisri.
Kaka funguka ijue kweli na utakuwa huru Mungu si mjinga kukupa mke uliye naye.
Akili ya kuambiwa...
Mmh! Ni imani tu
Kama ilivyo ukiwa na imani hata mlima ukiuambia ng'oka unang'oka.
Kikukaacho moyoni ndicho kikutokacho.
Jamani hata mimi kabla niliwaza hivyo lakini kwenye safari ya maisha nikapata tatizo katika moja ya ushauri wa kitiba niliopewa ni kulala chali. Tena mwanzoni ilikua kulala...
kapari nesta
Mkuu pole kwa kila unalolipitia. Najua una hasira na umeumizwa sana. Pole tena Mungu akupe moyo wa kusubiri na uvumilivu.
Ninachoona hapo inawezekana kuanzia mnaanza mahusiano na mama yake kuna kitu kilienda wrong au huyo mtoto hakupokea positively na sisi wakubwa tuna tabia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.