Recent content by nyachina

  1. nyachina

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii ni zaidi ya long missiles maana jamaa wamepigwa kwenye mshono wa mbichi. Hakika hii imewadhalilisha sana. Putin aendelee kuwa expose madhaifu yao
  2. nyachina

    Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    Me niliwahi kula 35k zao. Na juzi Jmosi wakaleta za uso nikala 5k nikalala mbele.
  3. nyachina

    Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Mafuriko yanayotokea Geita, Mwanza, Arusha., Morogoro na kwingineko ni sababu ya manyunyu. Hizi ni akili za kinyumbu au kuku wa kiisasa
  4. nyachina

    Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Mafuriko katika bonde la Rufiji yamekuwepo miaka mingi pindi mvua zinapoongezeka au kuwa nyingi. Hapo hakuna cha ISO wala nini. Hata kama Bwawa lile lisingekuwepo hayo maji yanayopita bwawani yangepita wapi? Maji ambayo yalitakiwa yajae baada ya miaka 2 yamejaa kwa miezi 4 tu. Huoni kuwa maji ni...
  5. nyachina

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Kumbuka alisema kuwa ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Meli Tanzania.
  6. nyachina

    Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

    Wakati huo mimi nipo kidato cha 4 pale Mwanza sekondari
  7. nyachina

    TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

    CDM wakipewa nchi watafisadi kila kitu. Waendelee kuwa wapiga filimbi wa hamelini
  8. nyachina

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Wapo so sexy na wanaitendea vyema ndoa zao. Ni waaminifu kuliko kaka zao
  9. nyachina

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Nakushauri kila wakati akiwa na furaha jaribu kumshauri namna ya kuzuia hasira yake. Lakini pia be positive always. Akiwa na hasira uwe mwepesi sana kusihi na kuomba awe katika utulivu. Mengine karibu inbox tuyajenge zaidi: 0714080785
  10. nyachina

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Anazijua na anazitumia katika kufanikisha shughuli zake. Bila nguvu za kiroho hawezi kuwa hapo alipo.
  11. nyachina

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Hawa African Muslim Agency ndo wamiliki na wanaoendesha MUM. Nina uhakika kutoka kwao wao wenyewe baada ya kuhudhuria kikao cha Bodi. Bakwata hawana chao tena pale
  12. nyachina

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Hata hivyo Morogoro Muslim University inamilikiwa na taasisi bimafsi inayoitwa African Muslim ambayo pia inamiliki taasisi kadhaa za kielimu kama mashule na vyuo.
Back
Top Bottom