Mafuriko katika bonde la Rufiji yamekuwepo miaka mingi pindi mvua zinapoongezeka au kuwa nyingi.
Hapo hakuna cha ISO wala nini.
Hata kama Bwawa lile lisingekuwepo hayo maji yanayopita bwawani yangepita wapi?
Maji ambayo yalitakiwa yajae baada ya miaka 2 yamejaa kwa miezi 4 tu. Huoni kuwa maji ni...
Nakushauri kila wakati akiwa na furaha jaribu kumshauri namna ya kuzuia hasira yake.
Lakini pia be positive always.
Akiwa na hasira uwe mwepesi sana kusihi na kuomba awe katika utulivu.
Mengine karibu inbox tuyajenge zaidi: 0714080785
Hawa African Muslim Agency ndo wamiliki na wanaoendesha MUM.
Nina uhakika kutoka kwao wao wenyewe baada ya kuhudhuria kikao cha Bodi.
Bakwata hawana chao tena pale
Hata hivyo Morogoro Muslim University inamilikiwa na taasisi bimafsi inayoitwa African Muslim ambayo pia inamiliki taasisi kadhaa za kielimu kama mashule na vyuo.
Kaka kuwa makini basi.
Kwa sasa (2023) umesema ana miaka 6.
Umenichanganya uliposema ulimuona wakati wa ziara ya Magufuli mwaka 2016.
Hapo napata kizungzungu
Niliwahi kufanya ngono na binti mmoja ana umri wa miaka 26 na ana watoto 2.
Anadai tangu kuzaliwa hajawahi kukojozwa na muda wote nanihii yake ni ndogo na kavu. Hata ufanye romance kwa muda gani nyege zinapanda ila kulowana ni mwiko kwake.
Hii ni nini wataalamu
Hii inakuwa ni nje ya akili zako za kawaida kama unazotumia kuandika hapa.
You just observe internally not in a physical way.
Sijui naeleweka hapa mkuu.
Astral Projection au kwa maana nyingine Out of Body Experience (OBE) inafanana sana na Near Death Experience (NDE).
Hzi maana yake unaanza kujua hata kifo kinakuwaje na hivyo huwezi tena kuogopa kifo maana ni matukio yanayofanana sana.
For experienced meditators hii ni kawaida sana kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.