Recent content by NYACHA

  1. NYACHA

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    HALMASHAURI YA MJI KASULU. Kipindi cha mitihani ya taifa hasa kidato cha 2 na 4 maafisa wanafanya ufisadi kwa kuwakata hela waalimu fedha zao za usimamizi. Yaani huwa wanawakatisha waalimu wasiendelee kusimamia na kumuacha msimamizi mkuu pekeake. Sasa sijui hiyo hela wanayoikata wanairudisha...
  2. NYACHA

    Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Wengi wanaopinga uamuzi wa serikali ni wahanga wa suala hili! walitegemea kupata ajira soon kidezodezo! Ndio maana waalimu wanadharaulika sana! Sekta ya Elimu ifikie pahala iheshimike! Kwani kupata "B" O-level bila kumaliza form six tayari inatosha kufundisha Secondary?? Tumekua tukishudia...
  3. NYACHA

    Mkuu wa mkoa wa Mara, Magesa Mulongo yeye anakamua hata Muwasho akidhani ni Jipu

    Ni ""Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo"". Mods naomba marekebisho.
  4. NYACHA

    Mkuu wa mkoa wa Mara, Magesa Mulongo yeye anakamua hata Muwasho akidhani ni Jipu

    kweli wakuu! heading imekosewa! Mods please edit the heading of my thread.
  5. NYACHA

    Mkuu wa mkoa wa Mara, Magesa Mulongo yeye anakamua hata Muwasho akidhani ni Jipu

    Wadau, kuna habari zimeenea Mkoani Mara kua Magesa Mulongo ameagiza mara moja kusimamishwa kazi maafisa elimu wa halmashauri za mkoa huo kwa kigezo cha maafisa kutowapa zawadi wawezeshaji na wadau wa Elimu (walimu & wanafunzi) kwa muda usiozidi miaka miwili. Pia amewataka Wakurugenzi kutoa...
  6. NYACHA

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo amewasimamisha kazi maafisa elimu wa Halmashauri sita

    Huyu jamaa mi nilishasema hafai! Anatafuta sifa! Penye muwasho kidogo tu yeye anakamua akifikiri ni jipu! Mi nahisi hili li Muongo ni jipu pia tena kubwa lililojificha kwa kujifanya kutumbua wengine! MWANZA ilikua hivi hivi, mpaka umbea aliousikia Mtaa wa Makoroboi aliufanyia kazi kwa kutumbua...
  7. NYACHA

    Rais Magufuli utafanikiwa kutumbua wafanyakazi hewa kwa 5% bila kufanya yafuatayo

    Hawa nao wenye vyeti feki nao ni hewa mkuu! ni mojawapo ya majipu yanayouma kimyakimya! Hawastahili kabisa kula mishahara kama watumishi wa umma! Wanatumia majina hewa ya watu waliokufa au ambao hawapo kabisa.
  8. NYACHA

    Rais Magufuli utafanikiwa kutumbua wafanyakazi hewa kwa 5% bila kufanya yafuatayo

    Kwanza kabisa nakupongeza kwa juhudi ya utumbuaji majipu ikiwa ni pamoja na kushughulika na wafanyakazi hewa! Mimi ni mfanyakazi wa serikali yako, nimekaguliwa vyeti na kuhakikiwa Mara mbili. Ila mchakato nilivyouona ni ngum sana kuwabaini wafanyakazi hewa. Wanaobainika ni wale ambao in waoga...
  9. NYACHA

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Aaaaah! we jamaaa ni zaidi ya MPOKI wa ZE COMEDY!
  10. NYACHA

    Maswali kwa CWT (nimeileta ilivyo)

    Tulia kijana! Nakushauri ufike kwenye ofisi ya wilaya iliyokaribu na wewe utapata majibu ya maswali yako. Au kama VP nipm nikupe majibu na vifungu vya sheria! Karibu sana CWT! Kero zenu zitashughulikiwa na tunaendelilea kutetea na kupigania haki na utu wa walimu kama wafanyakazi wengine wa Tz.
  11. NYACHA

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    We jamaà hapa uko kwenye kampeni ya kutafuta wadada wa kula UZAZI! Hapa unajaribu kucheza na PSYCHOLOGY ya wanawake! huna lolote! Anyway umeeleza sifa zote kama utanashati, ucheshi, uvaaji mzuri, usomi wako,kazi ya kukuweka mjini na urefu wako. UMESAHAU KUELEZA SURA YAKO IKOJE handsome au...
  12. NYACHA

    Mkuu wa mkoa Mwanza tueleze, unatumbua majipu au unatafuta sifa?

    Kuwa wazi kama huyo Mulongo anakunallii, maana huwezi kuongea utumbo kwa kumfananisha Magufuli na Muongo. Tumekua tukishudia Maguguli akienda kutumbua majipu kwa evidence dhahiri tena ambazo ni written documents. Mi sijawatetea sana hao walim waliokamatwa, ila ninachozumzia hapa ni iwapo...
  13. NYACHA

    Mkuu wa mkoa Mwanza tueleze, unatumbua majipu au unatafuta sifa?

    We nae unajifanya kama vile sio mjinga. Uwe unasoma na kuelewa. Sio kuishia ku-repply. Sasa kwa mfano hilo suala la manesi, dereva anahusikaje? Au kwasababu hata yeye alikua dereva hapo awali kama mvhangiaji mmoja alivoeleza.
Back
Top Bottom