Recent content by Nunc dimittis

  1. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    duh yako au copy and paste?????
  2. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    belly fat ni kitambi tu boss
  3. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Nimemsikia dr. wa lishe 2kg/week but nilipoenda google nikaambiwa chini zaidi nikakata tamaa. hiyo ya bombe nimeipata kwa prof swai wa diabetis
  4. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    kiwango kinachotakiwa na mwili ambacho ukizidi umeanza faulo,mbaya zaidi faulo nila mazoezi
  5. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    tunahitaji vyakula vyote mwilini shida ni kiasi ex.-2kgs ya nyama kwa wiki. -bia mbili ikizidi tatu,mara mbili ikizidi mara tatu kwa wiki. jeeeeeee!????? tunafata iyooooo!!!! Mbaya zaidi NO mazoezi
  6. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Kitambi ni NOMA pande zote
  7. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Mtindo wa maisha ndiyo coz, zamani watu wengi walitembea hata mijini esp. toka vituoni mwa daladala kwenda home sasa pikipiki zimeongeza problems.tumekuwa kama kitimoto bandani lazima ufule tu
  8. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Sitaki kujimu moja kwa moja,good ex. Ya pear body shape ni most somalis,tutsi and ethiopians. But most bantu are apple body shape sema tumebadilika kiasi kwa kuchanga
  9. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    Wanawake wamegawanyika into 2,pear and apple shape
  10. N

    Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

    kwa maelezo yako wewe umejaza chini pear shape
Back
Top Bottom