Recent content by nofal

  1. N

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Sitta ajitangazie matokeo mapema ama akapigane na mmoja wa wagombea ili zoezi zima lifutwe halafu kurudiwa.
  2. N

    NSSF yazidi kuweka Historia: Inajenga Sports Academy imeingia ubia na Klabu ya Real Madrid

    Hili fao la matibabu linalotolewa na NSSF kwangu mimi ni kiliwazo tosha zaidi ya hy intrest mnayoizungumzia
  3. N

    PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

    NSSF uko juu kuliko mifuko mengine kuna hili fao la matibabu ambalo wanachama huwa wanatibiwa na familia zao ambapo hakuna hata mfuko mmoja ambao inatoa kwa wanachama wake zaidi ya NSSF
  4. N

    NSSF, akhsanteni kwa fao lenu la matibabu bure kwa wanachama wenu

    hakuna gharama ya matibabu ninayokatwa kwa familia yangu kwa sasa ndio maana nawashauri wale wenye vipato vidogo wenzangu wajiunge na NSSF ili wenyewe watibiwe bure
  5. N

    NSSF, akhsanteni kwa fao lenu la matibabu bure kwa wanachama wenu

    mimi ndio niliotibiwa bure baada ya siku kadhaa mke wangu nae akatibiwa bure siku zote sijatoa hata shilingi. Kuna ndugu yangu mwengine alifanyiwa operation kubwa pia hakutoa hata shilingi. Hebu ndugu yangu acha ushabiki elezea kitu chenye uhakika.
  6. N

    NSSF, akhsanteni kwa fao lenu la matibabu bure kwa wanachama wenu

    Nimefurahishwa saaana na fao hili ambapo mimi natibiwa na mke wangu na watoto wangu buuurreeeeeee. Hongereni saaana. Nimeamini mpo juu.
  7. N

    Jamani kama Intellectuals hebu tuweke ushabiki pembeni, tujadili haya madai ya madereva wetu

    Suluhisho hapo wajiunge na NSSF watajitengenezea pension zao za uzee na pia watapata matibabu bure manake mimi sasa hivi ninanufaika na hayo matibabu ya bure yanayotolewa na NSSF.
  8. N

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Utafiti wa kutosha unahitajika kwa waajiriwa wapya !
  9. N

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Mbombo ngafu.
  10. N

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    mara IPTL ! Mara VATICAN, MOU !
  11. N

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    ok kumbe na hata wale watuhumiwa wengine inawezekana walipewa hizo pesa na marafiki zao IPTL.
  12. N

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    mara nyingi kwa viongozi wakatoliki huwa wako juu ya sheria,
  13. N

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    kata ticket ya basi linaitwa ESCROW KILAINI EXPRESS.
Back
Top Bottom