Ndugu yangu Bobuk;
Paragraph ya mwisho ni hitimisho langu na kama kuna kasoro basi kasoro hizo ni zangu binafsi maana na mimi nimeumbwa sikujiumba, nimesema yanazungumzika kama tukiondoa hisia binafsi na za makundi, maana kwenye mambo ya sheria na katiba ni muhimu sana kufanya hivyo kama...
Mimi nadhani watanzania tumezongwa zaidi na ushabiki wa kidini kuliko kuliangalia hili jambo kwa undani na kujua faida zake na hasara zake. Hizi mahakama za kadhi au za kidini kwa ujumla si jambo la ajabu, hata katika baadhi ya nchi zilizoendelea zipo na zinajadiliwa kama tunavyozijadili sisi...
Ndio maana wewe sio raisi - Jussa kwao si uaharabuni au uarabuni, kwao ni Makunduchi, Zanzibar...labda umrudishe huko, yeye ni mzanzibari halisi na asili yake sio uarabu, familia yake imekuwepo Zanzibar si chini ya generations nne, kama unataka kuwarejesha waarabu kwao basi sijui watu wangapi...
Hilo deni kateni kwenye mamilioni ya dola za kimarekani mulizozichukua Zanzibar wakati wa vita vya Kagera na baada ya vita (ile miezi 18 Nyerere aliposema itakuwa migumu), kama hazitoshi munaweza kukata katika mchango wa Zanzibar katika kuundwa kwa BOT, kama hazitoshi basi tukae chini tupigiane...
Nafahamu kuwa hupeleki kiongozi vitani lakini baada ya mapinduzi kutokea kwenye vikao vya mwanzo vya majadiliano na mataifa makubwa (ambavyo wote walishiriki) Karume hakuwa na sauti mbele ya Okello, sasa wewe kama ndio amiri jeshi mkuu kwa nini unamwachia lieutenant wako atoe maamuzi yote?, hii...
Sijui source yako ya hii habari inatoka wapi lakini it's a well known fact kwamba hakushiriki na kwamba kuna strong evidence kuonyesha hivyo, kuna vitabu vimeandikwa na independent writers (sio wana mapinduzi au waliopinduliwa) kuhusu hili jambo visome halafu come to your own conclusion...
Don't kill the messenger. Naona unamchambua mjumbe badala ya ujumbe wake, Dr. Salim inawezekana kuwa hana credibility mbele ya wa Zanzibari lakini aliyosema ni ukweli mtupu sasa kuanza kumsakama yeye badala ya ujumbe wake ni makosa na ndio haya haya aliyoyazungumza yeye. Ukweli ni ukweli tu hata...
Hivi ndugu elimu ni ya kimagharibi tu? elimu katika maisha inakuja kwa njia tofauti na shule ni mojawapo tu, kama wewe unaitumia hiyo elimu basi ungelifahamu hilo. Hivi una takwimu yoyote inayoweza kulinganisha per capita ya wasomi walioenda shule ya ki magharibi Tanzania Bara na Visiwani...
Na hapo Tanganyika na Zanzibar zilipoungana zilikubaliana kutakuwa na serikali ngapi? na marais wangapi?, ninavyoelewa mimi ni kuwa Zanzibar ilikubaliana kuwa na serikali yake na rais wake na kujiamulia mambo yake wenyewe ukiyatoa mambo yaliyoingizwa kwenye muungano na wala haikutaka serikali ya...
Matatizo ya muungano yataanza kutatuka siku ndugu zetu wa Danganyika watapoacha huu umbumbumbu wao katika muungano, wengi wao wameanza kuijua Zanzibar baada ya kufa Nyerere halafu leo wanajifanya kila kitu wanakijua wao kuhusu Zanzibar, wao ndio wataalamu wa kila tatizo la Zanzibar. Kumbukeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.