Recent content by Niko

  1. Niko

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Sio mimi niliyesema. Dr. Slaa mwenyewe amesema wabunge wanalipwa hela nyingi mno. Wanaogundua wanafiki wakamuuliza, wakati akiwa mbunge, yakhe, mbona huo mshahara mwingi unaupokea na unakula? Slaa akadai anautoa sadaka kujenga chama. Sasa amerudi chamani full time, anakula milioni saba, kwa...
  2. Niko

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Kweli kabisa. Mbowe amejibu ki holela holela tu. Mtu analipwa milioni saba consistently unatuambia sio mshahara? Hii inakuonyesha kwamba hata kina Mbowe wakiwa madarakani hawatauchukulia ukusanyaji kodi kwa uzito.
  3. Niko

    Rais Kikwete na ziara ya kwanza Jijini Mwanza baada ya uchaguzi

    Kuna safari ya nje ndefu inafuata, anazuga katikati ya nchi tudhani yupo yupo. Ziara ya Rais ya kumsimika Askofu na kukagua ujenzi wa chuo cha polisi ambacho hakijaisha, come on now!
  4. Niko

    KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

    Hivi koti likikushinda linakudhuru vipi, linakuangusha? Misemo ya kibongo mingi kwangu hai make sense. Anyhow, bomu la Mpendazoe halijawa na devastating, lasting impact kwa Nape, labda amejisikia aibu mbele ya kina Kikwete siku mbili tatu, lakini hakuna atakae dai, kwa mfano, ajiuzulu kwa...
  5. Niko

    The Official NBA Thread

    google
  6. Niko

    The future: "mobile web" au "mobile app"!?

    Kwani wewe ulichokiongelea kwamba kina kasi kubwa ni kwa wapi??? Maana unasema kuna trend ya kasi kubwa halafu unauliza trend yetu iko wapi!!
  7. Niko

    Desecration of the Dead: A criminal offense in our law

    Right, right, and I'm trying to do just that, help me out here, to relate the art work that you presented with events on the ground. You folks invoked Bob Marley to the events in Tarime by stressing that we should not stand by and look while they kill our prophets...! So, in Tarime, which...
  8. Niko

    Desecration of the Dead: A criminal offense in our law

    In Tarime, which prophets have been killed?
  9. Niko

    Desecration of the Dead: A criminal offense in our law

    Which prophets have been killed?
  10. Niko

    Haya ndio mambo ya Guinness wakuu!!!

    Sijui kama ni swala la kidini, au la kiafya, au mazoea au kakatazwa na mama yake. Na sitaki kujua kinachomsukuma kuwa mfano bora dhidi ya viongozi walevi, ila ukweli unabaki kwamba katika anasa za mwili, Kikwete amekuwa moral compass thabiti kwa viongozi anaowaongoza; huwezi kumkuta Kikwete na...
  11. Niko

    Haya ndio mambo ya Guinness wakuu!!!

    Jakaya Kikwete hawezi kunywa pombe hadharani.
  12. Niko

    what is the best mobile phone so far?

    Mtu mzima ananunua simu ya gharama kwa sababu ina games! Mwingine ananunua mu-HTC mkuuubwa wenye ma features and functions za kulazimishwa kama vile lazima ku subscrbe na internet service wakati nyumbani unayo internet! Falling for ridiculous marketing ploys
  13. Niko

    Wazee wamlaani Kikwete, Vikongwe watoa machozi; Wasema wamamua kufa! Serikali ya JK imewadhulumu

    Karne hii bado unaamini superstitions za "laana"? Thumbs up serikali kwa kutoingilia mahakama japokuwa unpopular judgment kama hii lazima itawa cast in bad light katika li nchi ambalo 95% ya watu hawajawahi kusikia dhana za "separation of powers" wala "utawala wa sheria."
  14. Niko

    Umewahi kutembela balozi za Tanzania nje?

    Ndugu yetu ameharibu hoja ya tatizo hili kwa kutanguliza issue ya Kiingereza. Kuna uozo mwingi maofisini, kutojua Kiingereza sio issue sana, tunaweza kuelewana Kiswahili. Uozo wa ki professional tunaouona maofisini Tanzania ndio huo huo unakuwa exported kwenye missions zetu nje, sasa kwa nini...
  15. Niko

    TANZANIA: Historia ya Taifa Letu na Sheikh Yahya (RIP!)

    Sioni kipya kwenye hii thread ambacho hakingetosha kwenye thread ya awali ya msiba wa Sheikh Yahaya
Back
Top Bottom