Recent content by ngutu

  1. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Naenda kwa ishu za biashara mkuu...naenda kupoint mtumba pale
  2. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Asante kwa kunisahihisha mkuu...umeiweka vizur sana
  3. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Shukrani [emoji120],nitafanya hivyo...nifafanulie kwenye halfdavit ya mzazi
  4. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Haswaa...ila kwa Sasa nipo mji wa moshi
  5. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Habari wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu, sijawahi kutoka nje ya Tanzania ndio nataka nianze sasa kwa kuanza na Jiji la Nairobi, Sina ndugu, rafiki wala mtu ninayefahamiana nae Nairobi, ila nimekuwa na msukumo wa ndani ukinitaka nifike Nairobi ,Sina passport ya kusafia, nahitaji kujua...
  6. ngutu

    Kwanini wapinzani wanapenda kutumia media za nje kuzungumzia mambo yetu ‘ya ndani’?

    Media za ndani zinawaminya wapinzani...kila wakizungumza live matangazo yanakatwa ,
  7. ngutu

    Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

    Umesema kweli, mm binafsi nimejikuta nashauku ya kutaka kumckiliza tundu lisu tangu amerudi nchini,naamini wananchi wengi wa vyama vyote nchini wanashauku ya kumckiliza tundu lisu na upinzani kwa ujumla kwani wengi wao tulimisi siasa za upinzani haswa wakiwa majikwaani. Kwa upande wa mh raisi...
  8. ngutu

    Naomba kuelimishwa kuhusu hili....

    Tunachoronga njia hadi mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ngutu

    Wanafunzi Chuo kikuu UDSM wapewa saa 48 kuondoka kwenye mazingira ya chuo

    Masaa 48 mengi sana nazan baada ya kupata tangazo wangetakiwa jua lisizame Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ngutu

    Nawezaje kumuacha huyu msichana

    Ww kinachokusumbua ni kulipiwa kodi umeshazoea kitonga,huyo Demu hata ukimwacha hataumia yy hata kidogo kwa sababu anamtu anaenpenda co ww...ila ww utaumia Sana kwa sababu utakosa wa kukulipia kodi huo ndo ukweli...acha kupenda kitonga boya ww... tafuta pesa ununue penzi Sent using Jamii...
  11. ngutu

    Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA

    Hongera kwa kuongoza kwenye taaluma mkuu,vp kwenye upande wa uchumi wako binafsi hujaelezea unaongoza vijana wenye umri wa miaka uliyonayo kama darasani?au ndo umepata elimu lakini akili ya kitumia elimu yako kuongoza vijana wa rika lako kiuchumi hauna?ELIMU unayo tayari vp kuhusu AKILI mkuu...
Back
Top Bottom