Recent content by ngudzu

  1. N

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    msishambuliane, hili ni jukwaa la mjadala. Ukweli ni kuwa hakuna aliyewahi kuwazuia waislam kufanya ibada zao ikiwemo kuanzisha na kuendesha mahakama ya kadhi.Tatizo ni pale inapofanywa kuwa jambo la kitaifa likatuhusisha na tusio waislam. wajadili misikitni, waipitishe, waanzishe hivyo vyombo...
  2. N

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Tusitoe mapovu tutoe hoja kwa hoja mara ooh mzinzi aaa wapi na wapi? Kauliza wai zuri nani kawap dhamna ao kuwaambia waanchi wakapige kura ya ndio? je wangewaambia waumini wao wakapige kura ya ndiyo ingekuwa shida? Na hii inaonysha kukosekana kwa dhamira ya kweli ya kuandika katiba mpy
  3. N

    Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Nimewaelekeza watoto wangu kuwa kadri wanavyokua wanapaswa kujipanga kukwapua kwa kadri ya uwezo wao maana hakuna atakayewasaidia nchi hii hata kama watasoma na kuwa na vyeti kwa connections hizi. Kibaya ziadi nikwa watanzania wako maili nyingi sana kufikia hatua ya kuzinduka. Hata haifai...
  4. N

    Zitto amjibu Ngeleja, Asema yuko tayari kuchunguzwa na kuhojiwa na Tume ya Maadili

    Tutasikia mengi kuelekea the Big October 2015
  5. N

    Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    weeee hawataniwi? mbona tulikuwa tunatikisa tu huyu dogo kafulila anajipatiaje umaarifu wa bure hivyo? amaa
  6. N

    Maalim Seif: Tutazunguka nchi nzima kupinga Katiba Inayopendekezwa

    Wadau, Nadhani mmeona yaliyojiri wikiendi na hasa hotuba ya makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar kupitia SUK Maalim Seif kuwa CUF watazunguka nchi nzima kushawishi wananchi waikatae katiba. Sote tunajua kuwa SUK inaendeshwa kwa hati maalumu ya makubaliano (MOU) na...
  7. N

    Dr Benson Banna: Mimi ni muumini wa serikali moja

    subirini kesho atakuja na msimamo mwingine
  8. N

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    someni citizen ya leo front page badala ya kumshambulia Kafulila wa watu. Tatizo watanzania sijui nani katuloga. Hatuna taarifa muhimu ila tunakimbilia tu kushambulia mtu anayajaribu kutupa taarifa. Inakuwaje hisa asilimia 70 zinanunuliwa kwa million 6 kisha zikauzwa na watu hao hao kwa kupitia...
  9. N

    Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    du kweli siku hazifanani. kuna wakati kitila alikuwa shujaa wa fikra pevu. Lakini siasa inafanya uharibifu mwingi kwenye mtiririko wa kufikiri kwani yanatangulizwa maslahi kwanza. Hebu nisaidie unaposema mchakato unaenda sawa kisheria kulingana na ratiba unamaannisha nini katika hali ambayo...
  10. N

    Karl Max's definition of law

    who is that stupid fellow in power that can enact any law to make things difficult for him to govern. Law is simply an expression of the thoughts, wishes, interests and power of the powerful full stop.
  11. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    usisahau widambe, Lupelo, King cross na Zainab awamu ya kwanza
  12. N

    Fatma Karume: Zanzibaris deserve say in referendum

    well thought well said
  13. N

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    wachumia tumbo tu povu jiiiingi kuna maswali kumi hapo aaah
  14. N

    Uharamia wa CCM: Mbunge Highness Kiwia afanyiwa operesheni masaa 6

    kushukuru kwa lipi sasa wakati ni haki ya mbunge kutibiwa na serikali kupitia ofisi ya bunge?Halafu hiyo hela ya serikali ni ya nani kama si yetu sote tena wengine tunachangia zaidi? AU tuseme kwavile serikali inawalipia gharama za matibabu wabunge basi vyombo vyake kama polisi vishuhudie...
  15. N

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    Kweli kuna Watu wanajaza NAFASI ZA Watu wengine tu bungeni sasa hapo ndo umedebate NINI? Mi nilidhani unamgaragaza kwa hoja siyo kamsitari. Shame on you hon MP
Back
Top Bottom