msishambuliane, hili ni jukwaa la mjadala.
Ukweli ni kuwa hakuna aliyewahi kuwazuia waislam kufanya ibada zao ikiwemo kuanzisha na kuendesha mahakama ya kadhi.Tatizo ni pale inapofanywa kuwa jambo la kitaifa likatuhusisha na tusio waislam. wajadili misikitni, waipitishe, waanzishe hivyo vyombo...
Tusitoe mapovu tutoe hoja kwa hoja mara ooh mzinzi aaa wapi na wapi?
Kauliza wai zuri nani kawap dhamna ao kuwaambia waanchi wakapige kura ya ndio?
je wangewaambia waumini wao wakapige kura ya ndiyo ingekuwa shida?
Na hii inaonysha kukosekana kwa dhamira ya kweli ya kuandika katiba mpy
Nimewaelekeza watoto wangu kuwa kadri wanavyokua wanapaswa kujipanga kukwapua kwa kadri ya uwezo wao maana hakuna atakayewasaidia nchi hii hata kama watasoma na kuwa na vyeti kwa connections hizi.
Kibaya ziadi nikwa watanzania wako maili nyingi sana kufikia hatua ya kuzinduka. Hata haifai...
Wadau,
Nadhani mmeona yaliyojiri wikiendi na hasa hotuba ya makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar kupitia SUK Maalim Seif kuwa CUF watazunguka nchi nzima kushawishi wananchi waikatae katiba. Sote tunajua kuwa SUK inaendeshwa kwa hati maalumu ya makubaliano (MOU) na...
someni citizen ya leo front page badala ya kumshambulia Kafulila wa watu. Tatizo watanzania sijui nani katuloga. Hatuna taarifa muhimu ila tunakimbilia tu kushambulia mtu anayajaribu kutupa taarifa. Inakuwaje hisa asilimia 70 zinanunuliwa kwa million 6 kisha zikauzwa na watu hao hao kwa kupitia...
du kweli siku hazifanani. kuna wakati kitila alikuwa shujaa wa fikra pevu. Lakini siasa inafanya uharibifu mwingi kwenye mtiririko wa kufikiri kwani yanatangulizwa maslahi kwanza. Hebu nisaidie unaposema mchakato unaenda sawa kisheria kulingana na ratiba unamaannisha nini katika hali ambayo...
who is that stupid fellow in power that can enact any law to make things difficult for him to govern. Law is simply an expression of the thoughts, wishes, interests and power of the powerful full stop.
kushukuru kwa lipi sasa wakati ni haki ya mbunge kutibiwa na serikali kupitia ofisi ya bunge?Halafu hiyo hela ya serikali ni ya nani kama si yetu sote tena wengine tunachangia zaidi? AU tuseme kwavile serikali inawalipia gharama za matibabu wabunge basi vyombo vyake kama polisi vishuhudie...
Kweli kuna Watu wanajaza NAFASI ZA Watu wengine tu bungeni sasa hapo ndo umedebate NINI? Mi nilidhani unamgaragaza kwa hoja siyo kamsitari. Shame on you hon MP
Kwa mfano MKUBWA wake ndio huyo kamwambia aachene na hiyo biashara Alitakiwa aepusheje? Hicho unachoita abnoxious and shoddy hebu kipe fikra hii uone kinavyoleta maana.
Shame on hk
kwani lazima ku comment?
Juzi nilipomuona akimpongeza prof. Muhongo kwa kumshambulia Mnyika just for that nilimdiscredit sana JAPO nilishakuwa na soma post zake nyingine. Kwa hili Ndungulile is above party politics kwa wananchi wa kigamboni tangu mradi unaanza. Ule mradi unausikia...
Wadau sijamuouna Zito kabwe bungeni. wakati huu ambao chama kinapita katika harakati nzito za kuondoa fikra mgando miongoni mwa wanasiasa na watendaji wa serikali alipaswa pia kuwa sehemu ya mapambano bungeni kujenga na kutetea hoja maana naona style ya chama tawala sasa ni matusi kwa kwenda...
Mimi nina hoja tatu. Kwanza ninavyowajua watu wa iringa ni makini sana na wana maamuzi ya busara ziku zote. Kuna walakini kuhusu huyu ndugu kuwa kweli mtu wa Iringa. hebu tazama hoja zake, ati Mbowe alienda UK na hakupita kuwasalimu ikamkera sana! kaka, yule ni binadam ana mke na watoto na ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.