Recent content by Ngida1

  1. Ngida1

    Corona imethibitisha bila shaka Zanzibar ni mkoa wa Tanzania, haina haja ya Serikali mbili, ni kupoteza hela

    Majibu ya kifedhuli ya baadhi yenu yanatutia moyo sana, kwani yanazidisha ile dhana kuwa sio wa maana na kuwa Muungano ufe leo na sio kesho. Wazanzibari wengi hatuutaki huu Muungano na hakuna nguvu itakayotufanya tuutake milele. Kinachokuja ni kuvunjika tu kwa huu Muungano na sio chengine. Hali...
  2. Ngida1

    Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    Hili tunalipigia makofi, kwasababu Wazanzibari tumechoka kutawaliwa!!!
  3. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Jamani, nashukuru kuwa nimeipata credit card yangu kutoka branch ya PBZ (Pemba) na kama nilivyoahidi nimekuwa mtu wa tatu kumchangia ndugu yetu Lissu. Sina uwezo mkubwa na kwahivyo nimemchangia Dollar 5 tu. Kila mwezi kutoka kwenye credit card yangu itatolewa Dollar 5 kwaajili ya kumsaidia...
  4. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Jamani sisi Watanzania mbona tunamaneno mengi lakini vitendo vidogo? Lissu sio keshatoa account ya nje, mbona mpaka leo wamechangia watu wawili tu? Nikipata credit card kutoka benki yangu leo basi nami nitakuwa mtu wa tatu kuchangia. Tuacheni mazungumzo na tuendeni kwenye patreon account yake na...
  5. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Kutoa sio utajiri bali ni moyo! Tunaona kaka Lissu katusikiliza wanyonge, kwasababu sasa unaweza kutoa hata Dollar moja tu kwenye donation page yake ya patreon. Hatuna tena sababu yakutomchangia mwenzetu. Sote tuelekee kwenye donation page yake na tumchangie angalau Dollar moja tu...
  6. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    >ni wapumvavu tu watamchangia Huyo antpass lisu< Eh kaka weeee! Hivyo huoni vibaya kwa maneno kama haya hapa juu? Au unatania? Japokuwa Lissu sio wachama chetu, lakini sio binaadamu mwenzetu? Watanzania leo tumefika kuitana wapumbavu kwasababu ya kutaka kumsaidia Mtanzania mwenzetu anaetuomba...
  7. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Kama unawasiwasi na account yake ya CRDB, basi mchangie kwa account yake ya <www.patreon.com/LISSU> na pesa atazipata moja kwa moja kule Belgium.
  8. Ngida1

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Mbona Lissu mwenyewe tayari keshatoa account ya nje? Ni hii hapa: <www.patreon.com/LISSU> Kuchangia kwake ni rahisi tu. Ukiingia una-click maneno haya: BECOME A PATRON. Hii website ya patreon ni kama ile ya gofundme. Lakini kwa hii patreon atakuwa analipwa kule Belgium kila mwezi na mtu yoyote...
  9. Ngida1

    Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Sasa nafunga mjadala. Nakubaliana na wewe kuwa mapinduzi yalifanywa na Tanganyika na kuwa kulikuwa hakuna sababu yakufanya mapinduzi, kwani hakuna aliyekuwa akidhulumiwa chini ya utawala wa Sultani na kuwa SMZ na sio utawala wa Sultani ndio yenye dhulma kila corner, kuanzia kwenye elimu na...
  10. Ngida1

    Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Naona Chief hujafahamu hapa tunazungumza nini. Tushakubaliana huko nyuma kuwa mapinduzi ya Zanzibar yalipata msaada kutoka nje. Tunachobishana hapa na wana-historia na ambacho kililetwa mwanzo as term of reference ni kama chini ya usultani dhulma zilikuwepo zidi ya waafrika au laa? Mfano...
  11. Ngida1

    Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Hajanipuuza lakini niliyoyaandika asingeweza kuyapinga. Utapingai vipi kusema kama waafrika walidhulumiwa kielimu chini ya usultani?
  12. Ngida1

    Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Karume alikuwa stooge wa nani???? Hahahaha. Usinichekeshe kaka. Waulize Watanganyika na watakujibu. Nyerere mwenyewe akimuogopa Karume na alipouliwa nadhani alipumua. Mambo yetu yote yaliharibika alipotutoka Karume. Karume angelikuwepo leo basi tusingelitawaliwa na Tanganyika. Enzi za Karume...
  13. Ngida1

    Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Sasa wewe unataka kusikia au kujifunza nini kutoka kwangu? History ya usultani ndio hio nimekumwagia kuwa waafrika tulikuwa tukidhulumiwa na tukibaguliwa. Kama wewe haya huyataki basi sina njia nyengine isipokuwa kukueleza kuwa waafrika tulikuwa wenye furaha sana chini ya sultani and we wish...
Back
Top Bottom