Those in need of CCCAM account of YES package @ 4.0 west pm me.
6 months tsh 35000
1 year tsh 55000
Epl,uefa cl,europa,efl,UNL,SERIE A,BUNDESLIGA,LIGUE1,FA,CARABAO,COPA DEL REY
Anaacha kabisa huwa ni upungufu sjui wa nini?
Nina ushuhuda wa jamaa yangu kabisa wa damu mpaka chuo kikuu ni kikojozi kitandani hadi 2013 akiwa na miaka karibu 30. Ghafla baada ya kuamaliza chuo tulikuwa tunamtenga hata kulala naye lakin kaacha kukojoa kabisa. Mpaka sasa ana mke na watoto...
Habari zenu wana JF?
Aisee kuna vitu binadamu inabidi tumwachie Mwenyezi Mungu tu jamani.
Niliooana na mke wangu 2013 na mwaka huo huo Septemba mimba ikatoka ya miezi mitano mtoto wa kiume. Tukaaa kidogo ikaingia ikatoka nyingine Mei 2014. Baada ya hapo ikaingia tena ikatoka Agosti 2015.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.