Recent content by ngararumu

  1. N

    Nauza samsung s6 edge

    Kama haijashushwa mahali, weka docs za manunuzi
  2. N

    Nauza samsung s6 edge

    Weka na risiti za kununulia ili kuonyesha umiliki wake
  3. N

    RC Arusha: Isingekuwa serikali ya awamu ya 5 msingeiona mvua ya Barafu

    Mvua ya mawe siyo dalili nzuri hats kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Rais Magufuli 'kutema madini' kuhusu uchumi UDSM tarehe 1/11/2018

    Anatema hayo madini kwa kiingereza au kiswahili?
  5. N

    Ujenzi wa ukuta na ulinzi Mirerani, Tanzanite italindwa?

    Akitoka hapo anapitia Moshi, kuzindua ujenzi wa ukuta kuzunguka mlima Kilimanjaro, kudhibiti wapandaji toka nchi jirani na njia za panya kwa wenyeji
  6. N

    Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Kuongeza gharama tuu, alipe hela za watu
  7. N

    Godbless Lema: Mhe. Kigwangala Huna Uwezo wala Sababu ya Kumshugulikia Nyalandu Labda Maige na Shamsa

    Kumbe mafisadi bado wamo CCM, waondoeni basi kumbe kumeoza huko CCM ,
  8. N

    Rais Magufuli washa mitambo IPTL MW 180 ziende gridini, tabu ziishe

    Huo ubavu anao wa kuwasha iptl ?
  9. N

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Kama kweli wangekuwa wamemfukuza, Pole pole angesema, kwa hiyo kazi ya uenezi ya CCM inafanywa na Bunge , aibuuuuuu kwa huo unaojiita muhimili kutumika vibaya
  10. N

    Mhe. Tundu Lissu kuhamishiwa India kwa matibabu zaidi

    Kama serikali ilimtaka dereva wa Lissu kwanini hawakumkamata pale Dodoma, Serikali haiko proactive, hata kwa mipango yao ovu.
  11. N

    TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    To balance they will go xtreme to ccm figure, halafu ni 5 bullets, kwa hiyo waachie hizo Landcruiser basi kwa sababu wenyewe bado wanatamba hata baada ya kuzikamata, hivyo haziusiki.
  12. N

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Bashite hajawahi kukosa kuwepo hafla yoyote Ikulu, lakini siku hiyo hakuwepo alikuwa wapi?
  13. N

    Kurugenzi ya habari ya CHADEMA bado mko karne ya 19

    Red fonts zinaonyesha ulivyokuwa na flow nzuri, njoo CHADEMA uajiriwe
  14. N

    Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

    Kwani wao ndio walioleta ACCACIA, si imeletwa na CCM na wapinzani wakapiga kelele kuhusu utaratibu wa mikataba, na sasa wanapiga kelele kuhusu utaratibu unaotumika kuvunja mkataba, tatizo akili zenu mmezielekeza kusiko mkifikiri mnazo kumbe weupe
  15. N

    Hivi kwanini ITV wamemwamini Sam Mahela kuendesha kipindi cha Dk45?

    Nakuunga mkono asilimia 100 wewe mleta uzi, jana nilisikitika sana namna Mahela alivyokuwa anambeba Siro na serikali kwa ujumla kuhusu maswala ya ukiukwaji wa katiba unaopelekea kukandamizwa kwa demokrasia, unaofanywa na serikali kwa kutumia jeshi la polisi, Maswali yanayohusu Katiba yalikuwa...
Back
Top Bottom