Umeandika UKWELI MTUPU!!!!!! Ila kwa jinsi navyolijua hili Jukwaa, jiandae kutukanwa na kupuuzwa na wachangiaji wengi. Hata hivyo message sent and delivered!!!!!!! Tanzania Kwanza!!!!!!!
Watu kama wewe ni "ebola" kwa Taifa hili. Hayo yote uliyoandika ni UONGO wa hali ya Juu na umelenga kupotosha kwa nia mbaya... Utaumbuka kesho tutakapoweka Rasimu hadharani. Shame ON YOU!!!!!!!!!!!
Tunajua ni kwanini mnamshambulia ISSA SHIVJI. Hoja ya uwepo wa dola mbili TZ ni sahihi tu na sio kila utaratibu wa shirikisho katika mifano uliyoitoa lazima tuige hapa Tanzania neno kwa neno, nukta kwa nukta. Tunaweza kuja na mfumo wetu ambao ni UNIQUE kama ilivyo sasa na ukweli ni kwamba tuna...
Katika UKANDA wa Afrika Mashariki na Kati, the best ni TISS. Ukitaka kujua ukweli tafuta watu wa nchi hizo hasa viongozi wakuu wa nchi then waulize. Watakwambia ni TISS na sababu wanazijua wao. Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... tafakari. Kwa Afrika nzima, ubora wa taasisi za usalama umekuwa...
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania FAKIHI JUNDU [Miaka 65] anatarajiwa kustaafu mapema mwezi July 2014. JUNDU amedumu katika nafasi hiyo tangu mwaka 2009.
Habari nilizozipata kutoka kwa jamaa fulani ni kwamba Rais atamteua Mwanamama MWANAISHA ATHUMANI KWARIKO [Jaji Mfawidhi - Songea] kuwa...
Tanzania ya leo kwakweli sijui tumeingiliwa na watu gani. Nakuomba soma KATIBA ili uweze kutambua Rais wa Nchi yetu ni nani kimamlaka na ana hadhi gani then utakuwa umepata jibu la swali lako.
Ajitoe tu yeye na wabunge wake wa chadema. Hata wakijitoa, bado kwa upande wa bara ile 2/3 inayohitajika itapatikana bila ya wabunge wote wa UKAWA kwa upande wa bara tu. Hivyo nawashauri wajitoe haraka sana, wasitusumbue hapa dodoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.