Recent content by Nelibaba

  1. Nelibaba

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Ukipata ufahamu wa kuokoka ni vyema kufata mchakato huu....
  2. Nelibaba

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Kuna kipindi fulani Rais wa Uganda aliwahi kushauri tutumie maneno ya kibantu kwenye kiswahili nadhani ndo haya ...
  3. Nelibaba

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Ukijua maana ya Chaga au wachaga umejibu swali lako
  4. Nelibaba

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Naona umeongea Kwa uzoefu wako...
  5. Nelibaba

    TAMISEMI acheni kiburi

    Kuna mmoja kasepa Jana na ametumia mwezi mmoja tu....
  6. Nelibaba

    TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    Vipi ulifanikiwa uhamisho?
  7. Nelibaba

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Vita kati ya Israel na Iran ni suala la muda tu, pamoja na mambo mengine, hii yote ni kwasababu ya udini na hasa Irani akiwa ndio superpower na mtetezi namba Moja wa Dola ya Kiislamu hapo mashariiki ya kati....
  8. Nelibaba

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Ebu ngoja, sifa mojawapo ya mke wa kuoa ni lazima awe na uwezo wa kukufanya utake kumla sio unataka kumla halafu unavuta hisia Kwa wengine..Wazazi wanasema Muha ni mbaya wa sura, vipi wewe unasemaje? Hakuna mwanamke mbaya endapo utachagua kumpenda..
  9. Nelibaba

    Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    Kuna watu wanapenda vita na kuichukia amani
  10. Nelibaba

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Wewe sio sehemu ya serikali, huna maamuzi ya kutamka hayo...
  11. Nelibaba

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    Umejibu vyema! Hekima hii idumu kwako milele
  12. Nelibaba

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    Kwa hii habari ya sadaka, Mungu alinisemesha jambo Moja muhimu sana; tusitoe sadaka kama rushwa ili Mungu atutendee jambo fulani Kwa maana rushwa ni adui wa haki na Mungu katu hapokei rushwa. Rushwa wapeni wanadamu lakini si MUNGU. Unapotoa sadaka jiulize kama hiyo sadaka ni SHUKRANI au ni...
Back
Top Bottom