Recent content by NEGLIGIBLE

  1. NEGLIGIBLE

    Mishahara wanayolipa wahindi haikidhi gharama za maisha wala kufidia nguvukazi ya wafanyakazi wao

    SIKUSUDII KUHARIBU MADA AU KUMKOSOA MTOA MADA,LAKINI TATIZO KUBWA NILILOLIONA NI MATUMIZI YA NENO PAKA BADALA YA MPAKA.MWANDISHI HAKUKOSEA KWA BAHATI MBAYA KWA SABABU AMERUDIA ZAIDI YA MARA MOJA.....UKISIKILIZA NA KUSOMA KWENYE VYOMBO MBALI MBALI VYA HABARI VYA TANZANIA,TATIZO KUBWA LA MATUMIZI...
  2. NEGLIGIBLE

    Kuanzia mwezi Oktoba 2018 nauli ya Mabasi itapanda

    Wakati mwingine ni vizuri tukajitofautisha na magroup mengine ya mitandao ya kijamii.Ina maana wote humu hatujui mchakato wa kubadilisha nauli unavyofanyika?Hatujui kazi ya SUMATRA?Lini mchakato huo ulifanyika na kukubalika?Majadiliano kati ya watoa huduma na watumia huduma yamefanyika...
  3. NEGLIGIBLE

    KALENDA YA KIISLAM

    Waungwana hongereni kwa kuhitimisha mfungo wa Ramadhan kwa wale walio swali Idd leo,na pia nawatakia maandalizi mema kwa wale watakaosheherekea Idd kesho.Sitarajii kujadili au kuibua mjadala wa kwa nini wengine wanaswali Idd leo na wengine kesho.Kwa kupitia mijadala na machapisho mbali mbali...
  4. NEGLIGIBLE

    Magufuli alipunguza mishahara mikubwa ili wagawiwe wenye mishahara midogo?

    Wapi nilipolinganisha?Soma vizuri kwenye comments zangu.Nimesema kuwa Mwalim mwenye Shahada mshahara wake ni mkubwa kuliko mhasibu mwenye shahada.Mwalimu mwenye stashahada mshahara wake ni mkubwa kuliko mhasibu msaidizi mwenye stashahada.Mwalimu mwenye astashahada mshahara wake ni mkubwa kuliko...
  5. NEGLIGIBLE

    Magufuli alipunguza mishahara mikubwa ili wagawiwe wenye mishahara midogo?

    Swali lako linanikumbusa tabia za Watanzania,Siku moja nilipanda basi nilikuwa naelekea mkoani,tulipofika kwenye mezani kondokta akatutaka sie tuliokuwa tumekaa viti vya nyuma tusimamae tuende mbele,baada ya basi kupimwa ndio turudi kwenye nafasi zetu.Mimi na mwenzangu tulikataa,kwa sababu...
  6. NEGLIGIBLE

    Magufuli alipunguza mishahara mikubwa ili wagawiwe wenye mishahara midogo?

    SAMAHANI KWA UJINGA WANGU......MWALIMU MWENYE SHAHADA MOJA YA UALIMU ANAPOAJIRIWA SERIKALINI HUANZA NA NGAZI YA MSHAHARA YA TGST D,WAKATI MHASIBU MWENYE SHAHADA MOJA HUANZA NA NGAZI YA MSHAHARA YA TGS D.JITAABISHE KIDOGO,TAFUTA MSHAHARA WA TGST D,NA TGS D KISHA ULINGANISHE KISHA URUDI...
  7. NEGLIGIBLE

    Magufuli alipunguza mishahara mikubwa ili wagawiwe wenye mishahara midogo?

    UKIONDOA WATU WA KADA ZA AFYA NA NAFASI ZA UTEUZI,UNAWEZA KUNITAJIA MTU WA KADA NYINGINE AMBAYE ANASOMA KOZI YA SHAHADA KWA MIAKA MITATU AMBAYE MSHAHARA WAKE NI MKUBWA KULIKO MWALIMU?UKIZINGATIA KIGEZO GHA ELIMU,WAALIM NI MOJA YA KADA AMBAYO MISHAHARA YAO NI MIKUBWA KULIKO MAAFISA...
  8. NEGLIGIBLE

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    JAMII CLASSIC WEAR AU JAMII FASHION.
  9. NEGLIGIBLE

    Bungeni: Jafo aeleza nyongeza ya mishahara kwa watumishi/walimu, kupanda madaraja kwenye bajeti hii

    Kuna tofauti kati ya kupanda mshahara,kupanda daraja na ongezeko la mwaka la mshahara,yaani yearly increment.Kupanda mshahara ni kuongezeka kwa kiasi cha pesa mtu anacholipwa kila mwezi kama mshahara, mara nyingi sababu huwa kureflect inflation. Yearly increment ni statutory requirement kwa...
  10. NEGLIGIBLE

    Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

    UHURU WA KUJIELEZA USIOKUWA NA MIPAKA,KUHESHIMIANA.
  11. NEGLIGIBLE

    Vyeti feki; serikali imekurupuka bila ya utafiti

    Kama kweli huyo ndugu yako amesoma Degree ya kwanza UDSM,halafu akaenda kusoma Degree ya pili UK,PHD Norway halafu hajui ukipoteza cheti cha form four unafanyaje mpaka anapata tuhuma ya kuwa na cheti feki,basi kuna tatizo kubwa sana aidha kwenye mfumo wa elimu au jinsi huyo ndugu yako...
Back
Top Bottom