Asante kwa andiko zuri Yericko na zawadi hii nzuri kwa mtukufu japo ulitakiwa kwanza uangalie kwa jicho pevu je? Mtukufu anapokea zawadi nono kama hizi? Je aliahidi nini kwa mtu atakayejaribu kumpa zawadi kama hii siku ile akiwa na Daudi Bashite? Nchi imeshakuwa ya 'one man show ' hata wasomi...
Karibu Dr. kwenye nchi ya kusadikika najua wazi mpunga utakuwa umekata. We ni mtu na heshima zako japo umenyea kitanda ambacho jioni unataka ukilalie tena. Jamaa umeshawasaidia kuingia madarakani sijui kama watakutoa tena kwa kifupi umeshakuwa bigijii ilioisha utamu.
Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya kwani anajua mihemko ya baba mwenye nyumba. Fanya fyoko ufungashiwe virago dakika sifuri. Japo sio reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya sababu anaijua vizuri mihemko ya baba mwenye nyumba. Ukileta fyoko dakika sifuri unafungashiwa virago. Japo siyo reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
Kukata kata watu kwenye kura za maoni ndio demokrasia hiyo? dada Bhanji tu analia amekatwa bila hata kuwa consulted watu wanaenda na majina ya wagombea wanaowataka wao mfukoni.
Nashangazwa na tabia za baadhi ya wasanii kuhama chama na kujitangaza kwenye media.Nisichokielewa hapa ni kweli wanafuatilia siasa kiasi cha kuvutiwa na Sera za chama anachohamia au kutafuta umaarufu zaidi? Au wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kuvuruga misimamo ya watu kwa vile wanavyoviamini...
FLASHLIGHT TRAINING COLLEGE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA COMPUTER NA SECRETARIAL.CHUO KIPO KONDOA MJINI. Mawasiliano: 0688434525, 0755358180. Wote mnakaribishwa.
nafikiri itakuwa ngumu sana dr. kuomba radhi kwa jinsi ninavyomfahamu,issue ya bwana Job na Sumaye inaandaa mazingizira mazuri ya kufanya mabadilko kwani siku fred akijibu tutapata mengi zaid na hizi zote ni rasilimali nzuri za kuingia nazo uchaguzi 2015,tujitahidi tusisahau tu,they're digging...
huu ndo wakati wa kila mtu kufa na chake mpaka awamu hii iishe rasilimali zetu zitakuwa zimeliwa na wajanja to the extent,hivi serikali inafanya nini....huu ni msiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.