Asante kwa andiko zuri Yericko na zawadi hii nzuri kwa mtukufu japo ulitakiwa kwanza uangalie kwa jicho pevu je? Mtukufu anapokea zawadi nono kama hizi? Je aliahidi nini kwa mtu atakayejaribu kumpa zawadi kama hii siku ile akiwa na Daudi Bashite? Nchi imeshakuwa ya 'one man show ' hata wasomi...
Karibu Dr. kwenye nchi ya kusadikika najua wazi mpunga utakuwa umekata. We ni mtu na heshima zako japo umenyea kitanda ambacho jioni unataka ukilalie tena. Jamaa umeshawasaidia kuingia madarakani sijui kama watakutoa tena kwa kifupi umeshakuwa bigijii ilioisha utamu.
Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya kwani anajua mihemko ya baba mwenye nyumba. Fanya fyoko ufungashiwe virago dakika sifuri. Japo sio reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
Sioni ajabu kwa prof kukaa kimya sababu anaijua vizuri mihemko ya baba mwenye nyumba. Ukileta fyoko dakika sifuri unafungashiwa virago. Japo siyo reputation nzuri kwa watu wa aina yake.
Kukata kata watu kwenye kura za maoni ndio demokrasia hiyo? dada Bhanji tu analia amekatwa bila hata kuwa consulted watu wanaenda na majina ya wagombea wanaowataka wao mfukoni.
Nashangazwa na tabia za baadhi ya wasanii kuhama chama na kujitangaza kwenye media.Nisichokielewa hapa ni kweli wanafuatilia siasa kiasi cha kuvutiwa na Sera za chama anachohamia au kutafuta umaarufu zaidi? Au wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kuvuruga misimamo ya watu kwa vile wanavyoviamini...
FLASHLIGHT TRAINING COLLEGE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA COMPUTER NA SECRETARIAL.CHUO KIPO KONDOA MJINI. Mawasiliano: 0688434525, 0755358180. Wote mnakaribishwa.
nafikiri itakuwa ngumu sana dr. kuomba radhi kwa jinsi ninavyomfahamu,issue ya bwana Job na Sumaye inaandaa mazingizira mazuri ya kufanya mabadilko kwani siku fred akijibu tutapata mengi zaid na hizi zote ni rasilimali nzuri za kuingia nazo uchaguzi 2015,tujitahidi tusisahau tu,they're digging...
huu ndo wakati wa kila mtu kufa na chake mpaka awamu hii iishe rasilimali zetu zitakuwa zimeliwa na wajanja to the extent,hivi serikali inafanya nini....huu ni msiba.
hii sasa inatisha,sipati picha atakayesimama kwa tiketi ya ccm2015 atawaambia nini wananchi wenye hasira ya kuibiwa rasilimali zao na vigogo wachache,ujio wa wikileaks ni kama ule wa nabii Mungu wabariki wikileaks.
habari zilizonifikia hivi punde zinaonesha hali kuwa mbaya zaidi ktk mgomo wa wanafunzi udom(coed)pale ambapo wachache wanaojipendekeza kwa wakubwa wa chuo kuingia madarasani huku wengine wakiendelea na mgomo na kusimamia madai yao ya msingi.hali hii inahatarisha maisha ya wanaharakati wa...
Baada ya kile kinachodaiwa kushindwa kwa serikali legelege ya wanafunzi wa kitivo hicho, kusimamia msimamo wao wa wazirl mkuu mh.Pinda kuongea na wanafunzi wote,vilevile hasira kali zimeibuka miongoni mwa wanafunzi hao kwa kudai kudharauliwa na waziri mkuu.wanadai kuwa wamemsubiri kwa takribani...
mimi ni mgeni lakini mwenyeji ktk jukwaa hili.kwanza nilikuwa mfuatiliaji wa nje sasa naomba mnikaribishe ndani.membaz wooote mnikumbuke ktk ufalme wenu.
kama ni hivyo inaonesha wazi kwamba kuna baadhi ya watu wachache wanaokula jasho na maumivu ya watu wengi zanzibar.je,ki nani hasa wanastahili kufaidi matunda ya mapinduzi hayo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.