Recent content by ndidudila

  1. N

    Mwanaume unaanzaje kuwa na wivu na mkeo?

    Wewe ni me au ke? Maana waweta kuta umetupia hii kitu kwa msukumo wa yakusibuyo
  2. N

    Mheshimiwa Rais Magufuli, tafadhari timiza hili

    Hongera kwa kumkumbusha Mhe. Rais, naomba nami nikusihi ndugu Rais ana zaidi ya siku 1825 za kukaa madarakani, kwa hiyo kuanza kumdai ahadi zote ndani ya Siku 100 ni kumuonea, kama ameweza kutimiza walau hill moja ndani ya kipindi kifupi namna hii ninaamini siku zilizosalia takribani 1720...
  3. N

    Badilikeni vijana wa kiume

    Hivi kila mwanamme akikugegeda tu, ni nyama nyama? Una hatari weyeeeeee
  4. N

    Mshahara wangu Sh. laki 2 kwa mwezi, nimedunduliza ikafika Milioni 1; niitumieje kama mtaji?

    Asante kaka kwa ushauri wako uko positive sana, laiti woze tungekuwa kama ww maisha yangekuwa tambarare
  5. N

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Mkuu we ni mtanzania kweli? Mbona kama napata mashaka? Hao ukawa wafanye mambo bika kufuata katiba? Maana katiba inaeleza bayana kuwa makam atatoka upande wa pili wa muungano, sasa kama vitu vidogo kama hii huvijui, je yale makubwa utayaweza?
  6. N

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Mkuu hongera kwa kwenda Dubai, sasa ungetusidia kama ungeweka bayana mlitumia sh ngapi kwa safari yenu (kwa maana ya nauli na hela mzigo) yote na mlikuja na vifaa kiasi gani
  7. N

    100k, 250k....

    1k=1000? How? Wat 1000 stands for?
  8. N

    Mbunge adai hamiliki smartphone!

    Papa Fransis wa kanisa katoliki ni kiongozi anayeongoza watu wengi duniani, huyo mbunge ambaye ni viti maalumu nimemsikia na kumuona anaweza kuwa muhimu katuka jamii kuliko papa? Waweza jiuliza kwa nini nauliza hivi, kifupi ni kwamba Papa kwa mara ya mwisho kuangalia Television ni tarehe...
  9. N

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Tatizo hujasema unataka msaada gani! Maana umejieleza wasifu wako tu
  10. N

    Waziri kumhoji Waziri mwenzake bungeni

    Naibu waziri hakusimama kuuliza, ila alichangia kwa maandishi, jambo ambalo linaruhusiwa, labda kosa ni kuchangia kwa mfumo wa swali
  11. N

    Barabara ya lami yakwanguliwa yote Dodoma

    Hivi we mtoa mada mwanao nyumbani akiugua humpeleki hospitali na badala yake unamtia mimba mkeo ili akuletee kitoto kingine?
  12. N

    Tirav sec school

    Ukifika Lumo mwisho wa lami, unakwenda mbele kama hatua 20 hivi mkono wa kushoto kuna kibarabara kinaingia then utaiona shule
  13. N

    Kiwanja Miguu 20*20 Bunju

    Kulingana na location yaweza kuwa reasonable
  14. N

    Takwimu: Kikwete amejitahidi katika kipindi chake jamani

    Kwa uzumbukuku wangu nilidhani kuwa mtu akipewa nafasi hatakiwi kujitahidi, ni kufanya kwa 100%
  15. N

    Sherehe za Mei Mosi Kitaifa Jijini Mwanza tarehe 01/05/2015

    Ni imani yangu kuwa huna ujuzi na asilimia za makato, hiyo 18 ni ya zamani
Back
Top Bottom