Huna uzalendo.utapendaje chama kilicho fanya madawa yakakosekana mahospitalin.wamafunzi wanakaa chin.watu wanakwapua pesa wanaachwa tu kama kuku wa kienyeji.jifunze kua mzalendo wa nchi yako kwanza,chama baadae
Alikua ana fighter kwa ajili ya familia yake .na c kwa ajili ya watanzania.angekua mzalendo hange tuibia . Na kama anataka kugombea urais apande jukwan aseme kwa nn alituibia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.