Search results

  1. N

    Ziara ya Christowaje Mtinda Singida Magaribi yaifuta CCM

    Sngida mmechelewaa kuamka.amkeni sasa.
  2. N

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Edo mwizi hafai hatuja sahau alicho tufanyia wananchi.mpaka leo tunalipa deni la tanesco
  3. N

    Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Mkopo nomaa .usijaribu kuuzogelea.utakua komba gafla.
  4. N

    Ninaipenda Mno CCM Kuliko Nchi Yangu!

    Huna uzalendo.utapendaje chama kilicho fanya madawa yakakosekana mahospitalin.wamafunzi wanakaa chin.watu wanakwapua pesa wanaachwa tu kama kuku wa kienyeji.jifunze kua mzalendo wa nchi yako kwanza,chama baadae
  5. N

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Alikua ana fighter kwa ajili ya familia yake .na c kwa ajili ya watanzania.angekua mzalendo hange tuibia . Na kama anataka kugombea urais apande jukwan aseme kwa nn alituibia.
  6. N

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Kama dk slaa hafai kua rais?tulete mtu ambae unajua wananchi wanamkubali zaid ya dk slaa.
  7. N

    Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

    tufahaishen kinachoendelea furahisha.
  8. N

    Warioba: Kura ya maoni Aprili ndoto

    warioba yuko sawa.muda wakujiandikisha unasuasua.
Back
Top Bottom