Recent content by NAPSTAR

  1. N

    simu inauzwa:sony xperia tipo dual

    nimeku pm mkuu weka no .yako ya simu basi
  2. N

    Natafuta smartphone for 150,000

    ongeza elfu 20 uchukue galaxy pocket yangu
  3. N

    get whatapp on iphone 3g for 20000 only

    nackia whatsapp kwa iphone user wanalipia 5 Usd. sa cjui kama 5US dollars= tsh.20,000/=
  4. N

    whatsapp users!!!!

    Nokia asha 200 does not support whatsapp
  5. N

    Nahitaji msaada wako wa kipesa ili niweze kulipia mtihani wa kidato cha nne 2013

    Sa ukimuuliza ka ana Dada itamsaidiaje yeye kupata hela ya kulipia mtihani wake............acha uahenzi wako wewe kuleta matani
  6. N

    Nahitaji simu ya 80,000 fasta

    kwan akiuliza humu kuna ubaya ....huo sio utoto hii ni forum ya matangazo na mtu anahaki ya kuweka tangazo kila kitu anachouza au anachotafuta..............acha ujinga
  7. N

    Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

    wabongo bana mtu anaweza akakosea kitu kidogo tu but nyie mnamek big deal.......labda ye ana maanisha blackberry mobile.......acheni ushenzi na kujifanya critics hapa
  8. N

    Sale ya LAPTOP

    This Is Why i hate Jf sometymz mtu anaongea serious business watu wanaleta utani #stupid
  9. N

    Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

    ipo 8530 hapa kwa tsh.200,000/=
  10. N

    black berry curve 8530 inahitajika

    ipo hapa 0718164448 kwa tsh.200,000/=
  11. N

    Galax Pocket

    yangu ipo hapa naiuza pia nliinunua mlimani city kwenye la samsung naiuza kwa bei ya 200k with garranty ya miezi 22 its fully boxed
  12. N

    Matangazo kwenye Jamii forum

    Sio that hazijajitosheleza kuna nyingine watu wana crticize tu ili kuannoy watu kama. kuna cku jamaa alikua anauza modem ya airtel iliyochakachuliwa basi kuna bmtu akaja akaanza kusema acha njaa we dogo na fujo nyingine nyingi sa hiyo ndo nn
  13. N

    external hard drive for sell at a very cheap cost ever been before

    nilinunuaga kwa mtu kwa 120 k ilikua ni ya WD
  14. N

    Matangazo kwenye Jamii forum

    96% of all ads. here are crticized au watu wanakua wanaleta utani tu bana au we mgeni
  15. N

    Matangazo kwenye Jamii forum

    Forum ya hii imejaa critics kuliko buyer au dealers
Back
Top Bottom