Mtanzania anamaswali mengi kulikomajibu tunayo matatatizo ya kinfumo,kisekta,kisera hata ya ya kureason MTU mmojammoja nalo bado nitatizo.Serikari ilishajitoa katika kufanya biashara sasa fedha ziko kwa watu wachache huku kilimo kikipewa kisogo kwa miundombinu mibovu na ukosefu wa nasoko ya...
Hekaya za bunuazi hizo imesomeka a hingry man is angry man na kamwe sidhan kama mnanjaa ya mtume na kiwa na hasira ya kuingia peponi. Peponi siyo mbali unafika ndani xa dakika kama unabisha poga mzinga wa nyagi meza fansida ni sekinde umejisajili...upo????
Mwanamke kama anatoa maji mengi anafaa kwa fertization na anapata madume tupu pachuchi inapwita na sperm zinakimbia faster ukibisha hunabahati ya toto dumez
Dunia na viijazavyo ni ubatili mtupu jiwekee hazina yako mbinguni , amani ya kudumu haipatikani kwa kumwaga damu ya viumbe wasio na hatia bali ni kwa njia ya diplomacy na kutambua karama ulizojaaliwa!ukiua umevunja amri kuu ya maulana nawe jahanam inakusubiri kwa mateso ya milele. Naipenda...
very interesting wandugu ndoandoano ndiyo kwa maana cheti kinasainiwa kabla wanandoa hawajaanza kuishi pamoja walijuwa mengi yataikumba safari ya ndoa. timiza wajibu wako ndoa haina tatizo ni jambo takatifu ila wanandoa wanachezea fursa za ndoa. ndoa is very powerful kosea yote usikosee kuoa au...
Tupo kizazi cha tamaa hivi huoni warembo wanazailiwa daily utapenda wangapi wewe wa kukurupuka?!! poa tukusaidie kigezo mojawapo be beauty at 20 age, successful at 30 age wiser at
age of 40 short of that you can't be!!!!!
Tulizana kama nyuki Wa mashineni na usitie shaka ukatawaliwa na mashaka kumbuka njia kuu yako broo ni mchepuko Wa mwenzako.!!! tafiti ujuwe kama huna future NAE vema ukatemana NAE kuepuka maradhi...
Jamaa hana chake hapo yeye akubali kuolewa naamini mke Wa jamaa NAE ameoa hivo arusiwe kuwa na kijogoo chake baada ya kukuta fimbo ya musa imedoda.hili swala linatakiwa liwekwe kwenye katiba ili wanawake nao waoe haki sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.