Recent content by mxyo16

  1. mxyo16

    Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

    Tumia wembe tu mkuu. Ina madhara. Imesha mkata mtu kisimi. Inategemea mwili wa mtu. Halafu sasa uchakachuaji ni mwingi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mxyo16

    Hivi 6 inches pia ni kibamia.

    Kaka wanawake hawakomoleki. Jifunze kuishi nae vizuri tu kama mna maelewano. Cha muhimu na kushauri hakikisha unajiridhisha wewe kwanza. You first.Hiyo big dick hai garantii wewe kutokua unapigwa mizinga, kusalitiwa, kudharauliwa huna pesa bahili nk. BTW mbona wanaume wengi wenye 7 inch na above...
  3. mxyo16

    Wahenga aged 49+ na six packs

    Hawa hapa mkuu ni wewe tu 10 richest people in the world: 1) Jeff Bezos: $91 billion 2) Bill Gates: $90 billion 3) Amancio Ortega: $82.7 billion 4) Warren Buffet: $74.5 billion 5) Mark Zuckerberg: $56 billion 6) Carlos Slim: $54.4 billion 7) Larry Ellison: $52 billion 8) Charles...
  4. mxyo16

    Wahenga aged 49+ na six packs

    Six packs huwa zinaendana na ukubwa wa mashine, au ni pumzi
  5. mxyo16

    Wahenga aged 49+ na six packs

    hahahahaha, kwa show off nadhani. ila sidhani kama amani inakuwepo maana wanawake mna wivu sana. Unaweza mzuia asitazame wala kuangalia pembeni wala kupokea salamu ya mwanamke mwingine.
  6. mxyo16

    Wahenga aged 49+ na six packs

    Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira asubuhi...wengi wa wachezaji ni above 35, na wanauweza mpira...ila sasa vitambi dah.
  7. mxyo16

    Mike Tyson kasema kwamba alilawitiwa akiwa na umri wa miaka 7

    Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man. (Haijampa mapungufu kama mwanaume)
  8. mxyo16

    Yah: Kujiunga Jamii Forum

    Eti mtiifu.
  9. mxyo16

    Yah: Kujiunga Jamii Forum

    Dogo hana adabu, imenibidi nitafute chanzo. Hapa ninaamini kabisa huyu dada ni matokeo ya kuwa abused. kwahiyo hajui right or wrong. Kajifunzia wapi? namuonea huruma kwakutambua hilo.
  10. mxyo16

    Yah: Kujiunga Jamii Forum

    Hahahaha eti mtiifu. asa umtii nani, inaoneka uliingia kwenye uhusiano ambao ilibidi uahidi kuwa mtiifu...ulikua unapigwa nini au ni utotoni
  11. mxyo16

    Yah: Kujiunga Jamii Forum

    Hahahahahah eti mtiifu. asshole!!
  12. mxyo16

    Katoto ka mbuzi, kamezaliwa na uso wa ''shetani!!??''

    mpuuzi wewe mwenyewe, hebu anzisha uzi wako wa kujidhalilisha, mbona unamshawasha kutumia lugha chafu. Naomba nikueleze kwann nimeleta hii habari. Ni ku raise awareness kwamba inapotokea kitu kisicho cha kawaida kwenye macho ya binaadamu kuna haja ya kukitambua vizuri na kukielewa, Zamani...
  13. mxyo16

    Katoto ka mbuzi, kamezaliwa na uso wa ''shetani!!??''

    Kama tunaoneshwa sura za waungu, yesu nk, kwann ikosekane ya shetani
  14. mxyo16

    Katoto ka mbuzi, kamezaliwa na uso wa ''shetani!!??''

    wewe ndio akili tope, unashindwa vipi kutuonyesha uso wa shetani unaoujua wewe, au akili yako ndio mwisho hapo kwenye tope. Hongera
Back
Top Bottom