Tumia wembe tu mkuu. Ina madhara. Imesha mkata mtu kisimi. Inategemea mwili wa mtu. Halafu sasa uchakachuaji ni mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wanawake hawakomoleki. Jifunze kuishi nae vizuri tu kama mna maelewano. Cha muhimu na kushauri hakikisha unajiridhisha wewe kwanza. You first.Hiyo big dick hai garantii wewe kutokua unapigwa mizinga, kusalitiwa, kudharauliwa huna pesa bahili nk. BTW mbona wanaume wengi wenye 7 inch na above...
Hawa hapa mkuu ni wewe tu
10 richest people in the world:
1) Jeff Bezos: $91 billion
2) Bill Gates: $90 billion
3) Amancio Ortega: $82.7 billion
4) Warren Buffet: $74.5 billion
5) Mark Zuckerberg: $56 billion
6) Carlos Slim: $54.4 billion
7) Larry Ellison: $52 billion
8) Charles...
hahahahaha, kwa show off nadhani. ila sidhani kama amani inakuwepo maana wanawake mna wivu sana. Unaweza mzuia asitazame wala kuangalia pembeni wala kupokea salamu ya mwanamke mwingine.
Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira asubuhi...wengi wa wachezaji ni above 35, na wanauweza mpira...ila sasa vitambi dah.
Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man. (Haijampa mapungufu kama mwanaume)
Dogo hana adabu, imenibidi nitafute chanzo. Hapa ninaamini kabisa huyu dada ni matokeo ya kuwa abused. kwahiyo hajui right or wrong. Kajifunzia wapi? namuonea huruma kwakutambua hilo.
mpuuzi wewe mwenyewe, hebu anzisha uzi wako wa kujidhalilisha, mbona unamshawasha kutumia lugha chafu.
Naomba nikueleze kwann nimeleta hii habari. Ni ku raise awareness kwamba inapotokea kitu kisicho cha kawaida kwenye macho ya binaadamu kuna haja ya kukitambua vizuri na kukielewa, Zamani...
Huko Indonesia, jamaa alinaswa pembeni ya mto akiogelea na mamba huyo naakapotea nae,ndugu wamemtafuta wakaamua kumuita mganga. ambae alifanya vitu vyake na baadae watu wakashuhudia mamba anarudisha mtu wao (mfu) cc mshana jr . mamba huyu ni wa maji chumvi, Hawa mamba wa maji chumvi hufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.