Ndugu zangu, kada ya UALIMU siyo kama kada nyingine unazoweza kuzifanyia masihara. Ikumbukwe kuwa ili watoto wafaulu vizuri mambo mengi yanahitajika ili kufanikisha lengo kuu la shule ambalo ni utoaji wa Elimu Bora..
Mambo hayo ni:
Miundombinu Bora ya kufundisha na kujifunzia * Uwajibikaji wa...
NMB naona saizi mnaongoza kwa kukimbiwa na wateja hasa wafanyakazi Wa serikalini.
Tena nimesikia wengi wanakimbilia CRDB na wengine MCB. Ningewashauri mboreshe mikopo katika bank yenu kwa kupunguza riba, boresheni huduma zenu hasa katika kitengo cha masoko namaanisha taarifa zifike kwa wateja...
Elimu Bure ni kwa mtoto wako. Ivi wewe mtoa mada una umri gani? Kama ni mtu mzima unaelewa maana ya bure au ulitaka kusema elimu bila malipo? Acha uchochezi, wazazi wanawajibu wa kuchangia maendeleo ya shule yao ili watoto wao wasome na wapate elimu bora katika mazingira na miundombinu...
Wanafunzi walioanza darasa la kwanza mwaka 2014 walishaanza kuitumia sera hiyo. Ila wale wa lanne , la tano, na la sita wa sasa wanaendelea na mfumo wa zamani
Wadau Habari za leo?
Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka.
Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni...
Mfumo wa elimu wetu umeharibu sana watu. Yani hata wenye akili na wasomi wanakubali kuwa ongezeko la gharama za umeme halitaathiri watu wa chini au makabwela. Nasikitika kujiona natekwa kifikra ili nilazimike kukubaliana na uongo sugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.