Recent content by Mwigulu Jisandu

  1. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Nahisi sababu yako ya kwanza inamaanisha utamchagua Zito kwa kuwa tu ni muislamu na hawezi kuacha uislamu hata kama hana sifa ya kuwa raisi. Kumbuka hatuchagui kiongozs wa ibada hivyo suala la dini ya mtu ningeshauri lisipewe kipaumbele
  2. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    I think something is wrong somewhere. kama ingekuwa hivyo fikra za wana philosophia wa zamani waliokwisha kufa zisingekuwa zinatumika hadi leo.
  3. M

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Hilo nalo neno!
  4. M

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Nawapongeza wameru kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuikataa ccm. Furaha yangu kubwa si ushindi wa chadema bali kushindwa kwa ccm. Hongera nassari, hongera chadema, hongera wanamapinduzi wote tanzania popote walipo. Nassari fanya kazi bila kuangalia vikwazo watakavyoweka, hata ukikwama wananchi...
  5. M

    TBC hawana aibu!

    Wana JF roho inaniuma sana kwa yanayotendeka nchini, nimeacha kuangalia taarifa za habari wala vipindi vinavyoongelea mabo ya siasa. Nitakuwa napata taarifa toka kwenu wadau.
  6. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Na kwa taarifa yako ulioyetuma thread hii sijui ulitumia vigezo gani kuhisi CDM itashindwa ila mimi ni mwana Igunga niliyezaliwa na kukulia Igunga, najua jisi wana Igunga walivyochoshwa na uwakilishi wa jina. Sioni kitakachoizuia CDM kuchukua jimbo zaidi ya magamba ya watawala (Fedha na Dola)...
  7. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Sikulaumu sana hata jina lako linachangia wewe kiongea hizo pumnba.
  8. M

    Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    Nimesoma Accounting IFM wakati ule bado kinatoa Advanced Diploma, ni chuo kizuri kuliko vyote kwani tulipokuwa field, tuliotoka IFM tulionekana bora kuliko Mzumbe na UDSM. Naweza kukushauri umpeleke pale lakini kwanza kama unaweza ada yake maana hata kama atapata mkopo hiyo asilimia 40 yake ni...
  9. M

    Naomba mwongozo wenu

    Mh! nashindwa hata kukukaribisha, maana sijui kama nko ndani au nje. mi sikupiga hodi nilivyoingia na nimeshachangia mada kadhaa. Wana JF naomba mnisamehe kwa kweli sikupata kujua hata kama kuna sehemu ya kubishia hodi, nilipoingia tu nilikuta mada kali sana nikaanza kuchangia na sikufanya...
  10. M

    Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

    Boflo, Redimedi, Kizabizabina, Chakubimbi ukimuona muogope, Shankupe, Kauzu.
  11. M

    Tunataka katiba mpya, hiyo iliyopo wangapi wameisoma?

    Kashaija ulichosema ni kweli kuwa kuna umuhimu wa watanzania kuifahamu katiba iliyopo ili kujua nini cha kurekebishwa na nini cha kuondoa. Lakini hicho kitu naona kama hakiwezekani vile maana hata mazingira yaliyopo yanasababisha ugumu. Katiba inauzwa kwenye maduka ya serikali tu, ni miji...
  12. M

    Matani

    Mentor we mkali ....
Back
Top Bottom