Recent content by Mwiba Kwanguruwe

  1. M

    Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

    jipige ugoko wa kisigino kwa nguvu inatulia,pia fikiri kuoa kama unajiweza, au tafuta kademu hapo ofisini ikikomaa unakavuta piga moja faster kazi inaendelea(inategemea na mazingira ya ofisi yako) mm nakung'uta tuu ofisi burdaaaani
  2. M

    Ikulu yamgomea Nyalandu uteuzi wa mkurugenzi wa wanyamapori

    kama ni kweli kama mm ni Nyalandu Najiuzulu kulinda heshima yangu, nani Waziri sasa hapo au nani mkuu wa Wizara, its like unapinga maamuzi aliyotoa Rais siutakuwa ni kichaa wewe
  3. M

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    this wont happen, they have not stopped in saudi arabia or any other muslim country such as afghanistan and pakistan who have the same laws in areas controlled by radicals! which is all most the whole country in all cases. plus they get a lot of money by gay people posting their persecution...
  4. M

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    this wont happen, they have not stopped in saudi arabia or any other muslim country such as afghanistan and pakistan who have the same laws in areas controlled by radicals! which is all most the whole country in all cases. plus they get a lot of money by gay people posting their persecution...
  5. M

    Damn! Nimelinasa jana wallah!

    acha roho mbaya uuaji huo
  6. M

    Nauza mayai ya kuku wakienyeji

    nguruwe nyama
  7. M

    Nauza mayai ya kuku wakienyeji

    Unataka wewe au kuku?
  8. M

    Jack Zoka astaafu

    karibu mtaani, weldone, kama hujaiba vya kutosha subiri kuabika mtaani
  9. M

    RPC Tabora: Una taarifa kuwa bwalo la Polisi panauzwa kitimoto?

    acha umbulula wewe, tena tukipata tunakuhamishia vijijini huko, umbulula tuu, unamnyooshea mwenzako kidole wewe uko safii mbele za Mungu, acha unafiki usio na hakili wewe na chuki za kipumbavu na kutaka kukosanisha watu, ungekuwa na busara na sio unafiki ungeenda umwambie huyo bosi wako, pumbafff
  10. M

    Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Wadau hili ongezeko la asimilia 272 la wabunge toka 43m mpaka 160m si halali wakati Huduma za msingi za wananchi wa kawaida ikienda vibaya wao wanajiongezea hivi ndio mnajua hamrudi tena ndio muifilisi nchi kabisa au? mmetuongezea makodi kibao sisi wafanyabiashara ili pesa muzile nyie...
  11. M

    Nahitaji kiwanja ,kibada kigamboni offer :isizidi 20m

    Asante Ndugu, nitumie contacts zako kwenye inbox, alafu ni KMs ngapi toka ferry? tutawasiliana zaidi kwenye simu, Much appreciated
  12. M

    Nahitaji kiwanja ,kibada kigamboni offer :isizidi 20m

    kiwe na title deed, isizidi 15km from ferry, kisipungue 1200 sq m
  13. M

    Nina PhD natafuta kazi

    nenda kafundishe au tafuta kazi kwa kutumia iyo degree yako au masters, usilete sifa kwenye interview oooh nina PHD, tunakukata tuu, so wewe weka iyo degree au masters inategemea na kazi inahitaji nini then huko huko mbele utaonesha iyo PHD yako, otherwise wewe ni academician nenda kafundishe
  14. M

    Nina PhD natafuta kazi

    nenda kafundishe
Back
Top Bottom