Recent content by Mwendapole Old

  1. M

    Lets privatize Ikulu, Bunge na Mahakama

    Rev Kishoka umenikuna mahali. Mada yako inaonyesha namna umetumia muda kutafakari hatima ya Tz na kukuta hakuna mwanga mwisho wa reli. Hii ndio hali halisi. Inakatisha tamaa hata kuongelea ufisadi wa nchi yetu. Ni mwingi na umetapakaa kila kona kiasi kwamba hujui wapi pamezidi uchafu...
  2. M

    Mpya: Tume ya Rais ya EPA yalonga

    Mwanakijiji, naelewa where you are coming from. hata hivyo, kwa mazingira ya siasa na mahakama za Tanzania, pamoja na njaa za majaji wetu; ukiniambia nichague nitachagua hela zirudishwe kwanza. Ni jambo la kawaida mtuhumiwa kukubali kosa polisi akaandika maelezo ya kukiri, na sahihi akaweka...
  3. M

    Mpya: Tume ya Rais ya EPA yalonga

    Surely; at this stage, ambapo bado kamati teule inafanya kazi, bado tunaweza kutoa hukumu dhidi yao? Tumeshapewa hadidu za rejea. Kama waliambiwa wahakikishe hela zilizochukuliwa zinarejeshwa, how else would the kamati have gone about it? kinachogomba hapa ni kwa vile hatujui hao watu...
  4. M

    Agenda 21 waanza kukutwa na vizuizi...

    Rev. poa moto. Kwa mtizamo wangu Lowassa kama Lowassa hana tatizo; tatizo ni TABIA yake, hiyo roho inayomsukuma kutaka kuleta yale yanayoptokea huko kwa majirani zetu Kenya. Hiyo TABIA ya tamaa, kiburi, dharau, ubinafsi,...hiyo tabia hiyooo, inabidi iuawe mapema kabla hatujafika mahali pa...
  5. M

    Agenda 21 waanza kukutwa na vizuizi...

    Nauliza, kale kadawa ka sumu ka kuuua watu taratibu kanapatikana wapi? katatusaidia kuepukana na haka kaugonjwa ka El...
  6. M

    Umeniandika

    If you ask me; You, Shy, is suspect number one!
  7. M

    Umeniandika

    Haka nako ni kamchezo kakuigiza. We Shy unauwezo wa kuandika, na mahali pa kuandikia; kitu gani kilikufanya usiandike pindi ulipotoka huko ulikotekewa? usiseme uliogopa; kwani nini kimekusababisha leo uiandike hiyo story? Gimme a break!
  8. M

    Kumbe Balali hakuwa mwajiriwa wa serikali?

    Kuna kasehemu ka IT...labda kama unataka watu wafungue hiyo site uue mjadala kwa virusi!
  9. M

    Jamani Sasa Tupeleke Macho Na Masiki Ngorongoro

    Nilipoona umemtaja mtu kwa jina kwa style hii nikajua majungu na chuki binafsi. Kwa kufuatilia nikakuta kumbe kweli bwana...tena habari zinasema ukiacha hiyo ipo nyingine ng'ambo ya mto na zote zimepanda ka uyoga! Lakini shida kubwa haiko kwa Mshana peke yake, ni mfumo unaotawala huko...
  10. M

    Matokeo ya Form four 2007

    Duh! sasa maseminari sijui watakuwa hawasali! wadada nao wanajikomboa
  11. M

    No they didn't! .. or did they?

    Sijui nimesoma kwa haraka...did they say zimepoteaje? Mimi nina mifano michache. moja, ulaji wa hela zilizotengwa kwenye idara za serikali. Mafano kwa quarter moja idara inatengewa milioni 20. Kati ya hizo, wahasibu wanakula 8, bosi anakula 5. Hizo ni kwa cash. Bado wakienda kununua vifaa...
  12. M

    Kagame wants Coup in Kenya

    Unabii unakaribia kutimia. Nilitaja siku nyingi interest za mataifa kadhaa. Sasa Kagame kaamka baada ya kujifanya kalala. His has more reason than one to intervene. Lets keep our ears on the ground; hakuna kitu tumeona bado...
  13. M

    Tumepigwa ganzi ya ufisadi?

    Ufisadi ni tatizo Tz, tena ni tatizo sugu. Leo tunaongelea moja, wajuaji wanaendelea na jingine, tukilishtukia hilo jingine, wao wako kwenye jingine. Hapa tunacheza mchezo wa kujificha. Imagine tangu serikali ya Jk imeiongia madarakani ni fisadi skendo ngapi zimeongelewa, na bado zipo nyingine...
  14. M

    Wakatoliki: Hili ni bomu

    Mungu apishe mbali!
  15. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    !? cant you make a positive contribution without insulting others? Or is your deep hatred to christianity sooo deep that you cannot help but spill it whenever the opportunity arises?
Back
Top Bottom